Unadhani ni kwanini ukimya wa Freeman Aikaeli Mbowe, unaipa kiwewe Chadema masalia kisiasa kwa sasa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.

Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.

Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mtei alikuwa Muasisi, alipo mpasia kijiti Mbowe, hakuwa active tena, sasa leo unataka Mbowe (Mstaafu) awe active? huo ni utamaduni wa CCM wastaafu kuingilia zama zisizo zao. Aliasisi Nyerere kuwasumbua Mwinyi na Mkapa (Na hii inadhihirisha kuwa umepewa mamlaka hewa), mwisho watu wakamtamani akapotea kimazingara. Ukistaafu tuliza matako yako maana kila kitabu na zama yake.
 
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.

Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.

Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hoja yako ipo weak san!! kwa akili ya kawaida tu ulitaka aongee wakat hayupo tena ndan ya mfumo wa kiuongozi, ndio maan anashindwa aingiaje kwa namna alivyoburuzwa kweny uchaguzi akaondoka na genge lake
 
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.

Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.

Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hivi kwa nini tahira kama hili huwa mnalijibu? Mada za hili ***** zinapaswa kukosa engagement.
 
si ungekaa kimya tu ndugu mfuata mkumbo na ingependeza zaidi?

uko pointless, halafu unaleta mihemko yako nonsense.

au na wewe una kiwewe?🤣

au unatafuta engagement jukwaani? kaa chumbani kwako na mihemko yako useless, humu jukwaani hakuna anaelazimishwa kusoma au kuchangia chochote. This is free platform🐒
 
Mtei alikuwa Muasisi, alipo mpasia kijiti Mbowe, hakuwa active tena, sasa leo unataka Mbowe (Mstaafu) awe active? huo ni utamaduni wa CCM wastaafu kuingilia zama zisizo zao. Aliasisi Nyerere kuwasumbua Mwinyi na Mkapa (Na hii inadhihirisha kuwa umepewa mamlaka hewa), mwisho watu wakamtamani akapotea kimazingara. Ukistaafu tuliza matako yako.
Lakini hata Freeman Aikaeli Mbowe,
alieleza wazi kwamba akishindwa uchaguzi wa ndani ya chadema, atajikita zaidi kwenye biashara zake na hatajihusisha na siasa tena.

Nachotaka kujua,
ni kwanini viongozi na wanachadema waingiwe kiwewe na ukimya wa jabali hili la siasa nchini, hata kufikia kudai kwamba mazongezonge na mazingaumbwe ya chadema kukimbiwa, kukosa agenda, sera na hoja, kuna msukumo wa mstaafu huyo?

why?🐒
 
Nani wa chadema kakutuma kuwa wanakiwewe?
Gentleman,
kwamba kiwewe cha viongozi na wanachadema kwa ujumla, kimejificha chumbani na hakionekani hadharani kisiasa, right?🐒
 
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.

Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.

Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Project ya CHAUMMA imeishaje?
 
Mbowe hana ushawishi wowote kisiasa kwa sasa
inawezekana, ila sina hakika.

hata hivyo,
kulikoni alaumiwe kwa mazingaumbwe yanayoendelea ndani ya chama hicho cha siasa nchini, na kila moja ana kiwewe dhidi yake yake, na kwamba inadaiwa yupo nyuma ya mkwamo wa chadema kiuchumi, kisiasa na kijamii?🐒
 
Shughuli Zao Zinakwenda Vyema Sidhani Kama Kuna Kiwewe Chochote
kama ni hivyo,
kulikoni kwa nyakati tofauti, viongozi na wanachadema humlaumu kwa kukaa kwake kimya dhidi ya mazongezonge yanayokikumba chama hicho, mathalani hali mbaya ya kiuchumi, kukosa agenda, sera na uelekeo wa kisiasa unaoeleweka?🐒
 
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.

Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.

Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mnapiga jeramba kumnunua kwa vipande vya sarafu mithili ya mfano wa Yida?
 
si ungekaa kimya tu ndugu mfuata mkumbo na ingependeza zaidi?

uko pointless, halafu unaleta mihemko yako nonsense.

au na wewe una kiwewe?🤣

au unatafuta engagement jukwaani? kaa chumbani kwako na mihemko yako useless, humu jukwaani hakuna anaelazimishwa kusoma au kuchangia chochote. This is free platform🐒
Mitahira kama wewe inashusha hadhi ya Jamiiforums. Kila muda unaleta mada za kishoga, I wonder why JF moderators entertain your stupid arguments
 
sasa kama mfuata mkumbo lofa una mihemko nonsense kama hivyo, umuhimu wako ni completely useless JF.
Na kwasababu JF ni free platform, hakuna namna ya kukufanya zaidi ya kuacha umbwembwele nonsense zako zote, na kisha utulie, maana huna athari.

Halafu gentleman,
mbona rahisi sana gentleman?
Ikiwa uko pointless, unakaa kimya tu,

Ikiwa hujaelewa jambo na huna interest nalo unapita pembeni na kukaa kimya na ulofa wako,

Na ikiwa mtoa hoja na hoja yenyewe inakukera unapiga ignore au ubamblock na unasonga mbele na ujinga wako.

huna haja ya kumbwelambwela nonsense ikiwa hata huwezi kutumia mbinu hizo kuficha ujinga wako gentleman 🐒
 
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.

Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.

Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260514-220943~2.png
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Back
Top Bottom