Hoja yako ipo weak san!! kwa akili ya kawaida tu ulitaka aongee wakat hayupo tena ndan ya mfumo wa kiuongozi, ndio maan anashindwa aingiaje kwa namna alivyoburuzwa kweny uchaguzi akaondoka na genge lakeFreeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.
Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi kwa nini tahira kama hili huwa mnalijibu? Mada za hili ***** zinapaswa kukosa engagement.Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.
Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
si ungekaa kimya tu ndugu mfuata mkumbo na ingependeza zaidi?Hivi kwa nini tahira kama hili huwa mnalijibu? Mada za hili ***** zinapaswa kukosa engagement.
Lakini hata Freeman Aikaeli Mbowe,Mtei alikuwa Muasisi, alipo mpasia kijiti Mbowe, hakuwa active tena, sasa leo unataka Mbowe (Mstaafu) awe active? huo ni utamaduni wa CCM wastaafu kuingilia zama zisizo zao. Aliasisi Nyerere kuwasumbua Mwinyi na Mkapa (Na hii inadhihirisha kuwa umepewa mamlaka hewa), mwisho watu wakamtamani akapotea kimazingara. Ukistaafu tuliza matako yako.
Project ya CHAUMMA imeishaje?Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.
Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
inawezekana, ila sina hakika.Mbowe hana ushawishi wowote kisiasa kwa sasa
kama ni hivyo,Shughuli Zao Zinakwenda Vyema Sidhani Kama Kuna Kiwewe Chochote
Mnapiga jeramba kumnunua kwa vipande vya sarafu mithili ya mfano wa Yida?Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.
Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mitahira kama wewe inashusha hadhi ya Jamiiforums. Kila muda unaleta mada za kishoga, I wonder why JF moderators entertain your stupid argumentssi ungekaa kimya tu ndugu mfuata mkumbo na ingependeza zaidi?
uko pointless, halafu unaleta mihemko yako nonsense.
au na wewe una kiwewe?π€£
au unatafuta engagement jukwaani? kaa chumbani kwako na mihemko yako useless, humu jukwaani hakuna anaelazimishwa kusoma au kuchangia chochote. This is free platformπ
Gentleman,Mitahira kama wewe inashusha hadhi ya Jamiiforums. Kila muda unaleta mada za kishoga, I wonder why JF moderators entertain your stupid arguments
Freeman Aikaeli Mbowe,