Gentleman,Hoja yako ipo weak san!! kwa akili ya kawaida tu ulitaka aongee wakat hayupo tena ndan ya mfumo wa kiuongozi, ndio maan anashindwa aingiaje kwa namna alivyoburuzwa kweny uchaguzi akaondoka na genge lake
Gentleman,Katika kipindi ambacho watu wanaielewa CHADEMA ni kipindi hiki,swala la chama kufa Sahau.
Wewe unayemuota Mbowe ndiyo una kiwewe nguruwe weeπ·π·Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua kanyaga twende tu kisiasa, ya leo bora zaidi ya jana.
Na kwasababu hiyo,
eti Freeman Aikaeli Mbowe ndio tatizo la uropkaji unaoendelea ndani ya chadema, na kukosa agenda, sera na hoja kwa chama hicho, hivi hii inaweza kua sababu ya chadema kupoteza uelekeo wa kisiasa nchini?π
Mungu Ibariki Tanzania
Jamii Forums ni bora kwa sababu ya diversity, hata mashoga tunaishi nao comfortably, muhimu, wasiweke nyuchi zao hadharani tu.Mitahira kama wewe inashusha hadhi ya Jamiiforums. Kila muda unaleta mada za kishoga, I wonder why JF moderators entertain your stupid arguments
Akili ndogo huezi nielewa, najua ana maumivu makali na hasira why hakuchaguliwa kua mwenyekigodaGentleman,
nilitegemea uwe na very strong respond, lakini tena kumbe nawe una mbwelambwela pointless tupu, dah!π