Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Nini kimepelekea upinzani kutoaminika kabisa nchini, kukosa hamasa na kuonekana kana kwamba ni watu wa mipango ya kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi yao binafsi tu na sio kutumikia wananchi?
Nini hasa kinafanya hata baadhi ya vyama vya upinzani kuonekana kama ni makundi ya kukinufaisha kiuchumi na viongozi wao kuonekana kama vibaka na matapeli wa kisiasa tu?
Je, ni kwasababu hawana uongozi madhubuti wenye maono na ushawishi wenye tija?
Ni kwasababu hawana vision, hawana sera, hawana mipango mikakati ya maana ya maendeleo yenye vipaumbele vya mahitaji na changamoto za wananchi?
Ni kwasababu hawafahamu wala kuelewa mahitaji muhimu ya msingi ya wananchi, na kwahivyo hawaeleweki kwa waTanzania kwasababu ya dhamira na agenda zao binafsi ni kutafuta nafasi za uongozi, vyeo na madaraka na nafasi kwa maslahi yao binafsi na familia zao?
Au hawana uwezo wa kimiundombinu hususani fedha za kuwafikia wananchi wengi katika maeneo mengi nchini na kujaribi?
Ndugu mdau,
unadhani ni kwanini hasa wapinzani hawaaminiki kabisa nchini, na badala yake wananchi wote wanamuamini Samia Suluhu Hassan pekeyake, hususan katika azma yake ya kuongoza nchi katika awamu yake ya pili na ya mwisho kikatiba?🐒
Mungu Ibariki Tanzania