Unadhani ni kwanini watanzania wanaona wako salama zaidi kuongozwa na CCM chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu?

Unadhani ni kwanini watanzania wanaona wako salama zaidi kuongozwa na CCM chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu?

Gentleman,
huenda umechoka wewe na uvivu wako,

huna haja ya kumuuliza mtu binafsi mambo haya,
kwasababu ni wazi waTanzania waote wanaiamini na kuikubali CCM pekee, kama ndicho haswa chama mbadala kwa mustakabali mwema wa maendeleo, amani, umoja na utulivu wao, katika kazi na majukumu yao.

wengine ni matapeli na vibaka wa siasa tu :NoGodNo:

Umeshakuwa brainwashed huwezi kuelewa. CCM is CULT.
 
Umeshakuwa brainwashed huwezi kuelewa. CCM is CULT.
nachoelewa mimi,
ni kwamba, CCM pekee ndio inaaminika na kwakweli inakubalika sana kwa wananchi,

CCM ndio msingi wa maendeleo ya wananchi wa Tanzania kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa,

ushirikina mwingine sina haja nao :pulpTRAVOLTA:
 
Upande wangu naona pengine watanzania wengi wamekwisha lizika na kuishi katika mazoea na chama tawala kwa muda mrefu kiasi kwamba wanafikiri ni salama zaidi chini ya uongozi huo wa chama tawala na hilo linapelekea kukosa kwa utayari katika kuruhusu mabadiliko zaidi
 
nachoelewa mimi,
ni kwamba, CCM pekee ndio inaaminika na kwakweli inakubalika sana kwa wananchi,

CCM ndio msingi wa maendeleo ya wananchi wa Tanzania kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa,

ushirikina mwingine sina haja nao :pulpTRAVOLTA:
Yah right.. Unachokielewa wewe.

Nchi zenye misingi ya maendeleo zimeweza kuendelea ndaji ya miaka 60 ya Uhuru i.e. Singerpore, UAE, Qartar, South Korea.

We endelea tu kukaliliswa na hizo Propaganda zenu Uchwala.
 
Back
Top Bottom