Unadhani ni kwanini watanzania wanaona wako salama zaidi kuongozwa na CCM chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu?

Kuhalalisha hayo mnayoyasema Mwambieni Maza aitidhe uchaguxi wa kweli tuone kama kweli Watanzania wanamuamini hivyo mnavyodai.

Kama tu ndani ya chama inabidi ajipitishe kwa mizengwe .... sijui hayo unayoyasema Yana ukweli gani.
Gentleman,
uchaguzi wa Tanzania hautishwi na mtu kama inavyofanyika kwenye vyama vyenu vya siasa vya kitapeli huko mtaani.

Uchaguzi wa Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi kila baada ya miaka mi5.

hata hivyo,
ni kwanini vyama vya upinzani nchini haviaminiki kwa wananchi?🐒
 
Wewe ndio unaona na familia yakoo
 

Sasa wakiitidha kwa mujibu wa sheria ndiyo kunakuwa hakuna Uhuni. Yaani huo uhuni wanaoufanya kila uchaguzi ndiyo sheria za nchi zinavyosema. Acheni kutanguliza Uchawa. Nchi ni yetu sote... ikiharibika inatuharibikia wote.
 
They don't feel safe, they lack freedom of speech. They are also full of fear and ignorance. That's why they decide to remain speechless as we say "if you can't fight your enemy join with him".
 

Watanzania wapo salama zaidi chini ya Utawala wa CCM?
Unajidanganya Sana. Hata Watawala wa nchi ya Shirikisho la Usovieti la Urusi ya zamani (USSR) kabla ya kuparaganyika kwa nchi hiyo walikuwa wakieneza Propaganda kwamba Raia wa nchi hiyo wapo salama zaidi chini ya Mawakala wa Idara ya Ujasusi ya nchi hiyo ya Urusi iitwayo KGB. Lakini uhalisia ulikuwa kinyume chake, wakati ulipofika Urusi iligawanyika vibaya sana tena kwa kasi kubwa ya ajabu kiasi Cha kuwashangaza hata wenyewe waliokuwa Watawala wa nchi hiyo ya Urusi m
 
Naomba no ya usajiri wa chama cha ccm, vinginevyo wenda tunaongozwa na viongozi batili kupitia chama batili
 
Naomba no ya usajiri wa chama cha ccm, vinginevyo wenda tunaongozwa na viongozi batili kupitia chama batili
nakufunmbua macho na kukusaidia usitapeliwe pesa, uhuru na haki yako ya kikatiba ya kupiga kura, unashupaza shingo,

shauri yako,
kibali na tapeli atapita na wewe vizuri hutosahau, utamsika tu yupo kwake ubelgijiiiiiii
 
Ndiyo,
wananchi na waTanazania wote wapo salama na wana amani ya uhakika chini ya uongozi wa ccm, lakini zaidi sana chini ya kiongozi na kipenzi cha wananchi Dr.Samia Suluhu Hassan.

ushirikina na utapeli wa vyama vingine hasa vinavyoongozwa na vibaka, waTanzania hawataki hata kuuskia
 
Sasa wakiitidha kwa mujibu wa sheria ndiyo kunakuwa hakuna Uhuni. Yaani huo uhuni wanaoufanya kila uchaguzi ndiyo sheria za nchi zinavyosema. Acheni kutanguliza Uchawa. Nchi ni yetu sote... ikiharibika inatuharibikia wote.
Gentleman,
hakuna kelele ya kibaka yoyote itazuia uchaguzi wa Tanzania.
lakini pia hayupo atakaebembelezwa kwenda kupiga kura.

infact,
uchaguzi wa kura za maoni CCM ndio haswa uchaguzi wenyewe wananchi wanapaswa kuufuatilia kwa karibu,
ule mwingine ni katika kutimiza matakwa ya kikatiba tu
 
Binafsi naona ccm inashinda kihali kabisa hata kama ni kuiba inajazia tu ili kushinda kwa kishindo na sababu kuu ni kwamba bado wapo wananchi wengi hawajaamka kwenye usingizi wa pono.
 
Binafsi naona ccm inashinda kihali kabisa hata kama ni kuiba inajazia tu ili kushinda kwa kishindo na sababu kuu ni kwamba bado wapo wananchi wengi hawajaamka kwenye usingizi wa pono.
Gentleman,
angalau una point zenye mantiki za kutafakari ndani ya koment yako,
ambayo pia inahitaji kufanya kautafiti kidogo kujiridhisha kwanza ili kuthibitisha kasoro na dosari za uchaguzi na uelewa wa wananchi uloibua
 

Hakuna kitu ni mfumo wa wizi tu ndiyo unaoibeba CCM. Wananchi wameichola na wao wanajua hilo. Ndiyo sababu hawataki mabadiliko.

Muulize ni jindi gani JK alivyopelekeshwa na Slaa 2010. Au Lowasa 2015.

Lissu mwenyewe alimpelekesha JPM mpaka akashindwa kurecovery kwa homa ya uchaguzi. Wote tunajua mwisho wake ulikuwaje.
 
Gentleman,
huenda umechoka wewe na uvivu wako,

huna haja ya kumuuliza mtu binafsi mambo haya,
kwasababu ni wazi waTanzania waote wanaiamini na kuikubali CCM pekee, kama ndicho haswa chama mbadala kwa mustakabali mwema wa maendeleo, amani, umoja na utulivu wao, katika kazi na majukumu yao.

wengine ni matapeli na vibaka wa siasa tu
 
Wajinga ndiyo wanaona hivyo. Unaweza chagua mtu ambaye hata hotuba hajui kutoa. Halivutii hata huwezi sema nitafute hotuba moja nisikilize.
 
Wajinga ndiyo wanaona hivyo. Unaweza chagua mtu ambaye hata hotuba hajui kutoa. Halivutii hata huwezi sema nitafute hotuba moja nisikilize.
uongozi ni kuonyesha njia gentleman,
sio hotuba, makelele na kupiga mdomo tu
 
Kwa mujibu wa huu uzi ni yeye kasema si watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…