Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Tz hamna witness protection unaweza kuwa shahidi wa kesi ngumu sana za kutisha ila hakuna kupewa ulinzi ndo maana kesi nyingi kubwa mahakamani watuhumiwa wanashinda kwa kukosekana mashahidiWatu wanaogopa usalama wao basi.kama mtoa ushahidi unahakikishiwa usalama wake,itakuwa ni rahisi kutoka ushahidi.