Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.

Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule .

Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi, aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake, ama aweza kuondoka kwa kumaliza utumishi wake kwa mujibu wa sheria, Hivyo basi msiogope kupendekeza majina mapya, maana hakuna Waziri Mkuu wa Milele.

Cha Msingi ni kuzingatia tu kwamba Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba, Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa.

Taja Jina ulitakalo bila hofu yoyote. Utalindwa.
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi ndani ya Chadema. Ingekuwa vizuri kama ungetaka maoni ya nani anaweza kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama. Kutaka mbadala wa Waziri Mkuu kwa Serikali ambayo hamuitambui ni ujuha mkubwa!!
 
Mwaka wa uchaguzi kwa katiba ipi ?
 
Back
Top Bottom