Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

mzalendo John Mnyika anaweza kufanya vizuri akiwa PM. Huyu jamaa asipofuta nyayo za akina ZZK atakuja kuwa hazina kubwa kwa taifa hili.
Itunzeni hii na Mimi leo nimetabiri.
Uyo msenge jimbo tu limemshinda.
 
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi ndani ya Chadema. Ingekuwa vizuri kama ungetaka maoni ya nani anaweza kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama. Kutaka mbadala wa Waziri Mkuu kwa Serikali ambayo hamuitambui ni ujuha mkubwa!!
 
Mwaka wa uchaguzi kwa katiba ipi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…