Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
HatariDuuh
Thibitisha u fake wake!Video feki
Kuna bus lilimuovertake wakati mbele kuna hiyo gari yenye camera, dereva wa bus akarudi upande wake ghafla baada ya kuona asingeweza kuovertake gari la pili mbele yake matokeo ndiyo huyo mwenye semi akajinusuru kutoligonga bus kwa nyumaalifeli breki hiyo yaani malori haya mengi yashatupwa na wazungu huko kwao hayawafa ndio wanayaleta huku spana juu
Yeah ni sahihi na alikua mwendo mkali.. akatanua... nadhani tera likawa linamvuta nje ya barabara na kukwepa kuligonga bus kwa nyuma..Huyo amechomekewa na hilo bus
Lakn amejihatarishia zaidi mi naona maana kama huyu anaerecod angekua kasiKuna bus lilimuovertake wakati mbele kuna hiyo gari yenye camera, dereva wa bus akarudi upande wake ghafla baada ya kuona asingeweza kuovertake gari la pili mbele yake matokeo ndiyo huyo mwenye semi akajinusuru kutoligonga bus kwa nyuma
ExactlyYeah ni sahihi na alikua mwendo mkali.. akatanua... nadhani tera likawa linamvuta nje ya barabara na kukwepa kuligonga bus kwa nyuma..
MkuuAlifeli breki hiyo yaani malori haya mengi yashatupwa na wazungu huko kwao hayawafai ndio wanayaleta huku spana juu
Ila swali la msingi ni hili: "Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora 7?"Hio ni truck simulator Wala sio uhalisia
Ongezea maelezo zaidieurope kwa mfano sasa wapo euro 6 , maana yake ni kuwa hata zile scania au benzi mpya za hapo vingunguti haziwezi kutembea london. .
Hiyo ni real ,sema dereva wa lori ni mtu mwenye bahati yake na maisha ,Hio ni truck simulator Wala sio uhalisia