Hii inairwa jacknife , na hapo bahati nzuri haijamaliza , worst case scenario ni kuwa hicho kichwa huwa kinazunguka na kujibamiza kwenye trailer , mara nyingi haponi mtu
Hutokea kwenye gari ambazo hazina Abs, na husababishwa na breki kali wakati matairi hayapo kwenye surface moja , kama hapo huyo wa semi alimpisha basi ,tairi za kushoto zikawa nje ya lami , alipokuja kukanyaga breki hizi za kwenye lami zika lock wakati zile za kushoto zinasota , ndo lori ikazunguka.
Gari zenye Abs huwezi kuta zinafanya hivyo