Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora?

Unataka kuniambia ABS ingekuwepo isingetokea hivyo?
 
Ongezea maelezo zaidi
Huku kwetu hata ukute brand new truck ,itakuwa ni euro,3, the last time euro 3 iliruhusiwa kuwa barabarani europe nadhani ni mwaka 2006.
London low emmission zone (Lez)kwa mfano watakudai euro 100 kwa siku kuendesha lori ya euto 3 ,
Lori likisha fail emmissiin standards linakuwa very expensive ,ndo sababu yanakuja Afrika
 
Na huku bongo wapige marufuku gari za chini ya mwaka 2013... au ukitaka kununua gari la chini ya hapo garama iwe kubwa mno kuzid toleo la hivi karibuni.. ili kisaidia kupunguza magari yaliopitwa na muda.
 
Never!!
isingetokea Kilichotokea, ukishapata tyre lock , the first thing unapoteza ni steering control , ndo mana nikasema huyo dereva pia ana bahati yake !
Asnt sana mtaalam kwa kututoa tongotongo juu ya hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…