Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa??
Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea tena nafasi hiyo ya Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2024. Mpinzani wake wa Karibu Donald Trump ana miaka 76.
Umri kikomo kwa kuwa mwanasiasa Tanzania uwe miaka mingapi?