Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Miaka 65 Mwisho
Ana 77.We una miaka mingapi Mgaya?
Kumbe Mtu mzima sanaAna 77.
Ila ni "immigrant" kwenye kizazi hiki cha teknolojia ya habari na mawasiliano. Hapo alipo anachat kavaa miwani na Glass yake ya Whisky pembeni. Shida tunazo sisi siyo wao.Kumbe Mtu mzima sana
Analamba Asali na JF ndo mtandao wake pendwaIla ni "immigrant" kwenye kizazi hiki cha teknolojia ya habari na mawasiliano. Hapo alipo anachat kavaa miwani na Glass yake ya Whisky pembeni. Shida tunazo sisi siyo wao.
mdogo mdogo. Hawa ndiyo bilioni moja huita "hela ya mboga".Analamba Asali na JF ndo mtandao wake pendwa
Majibu anayo lukuviKuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa??
Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea tena nafasi hiyo ya Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2024. Mpinzani wake wa Karibu Donald Trump ana miaka 76.
Umri kikomo kwa kuwa mwanasiasa Tanzania uwe miaka mingapi?
Umri ni namba tu....hata kama ana miaka 100 kama ana akili timamu aongoze tu.Umri kikomo kwa kuwa mwanasiasa Tanzania uwe miaka mingapi?
Unamtafuta maneno Mzee Wassira.Miaka 65 Mwisho
Ila ni "immigrant" kwenye kizazi hiki cha teknolojia ya habari na mawasiliano. Hapo alipo anachat kavaa miwani na Glass yake ya Whisky pembeni. Shida tunazo sisi siyo wao.
100Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa??
Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea tena nafasi hiyo ya Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2024. Mpinzani wake wa Karibu Donald Trump ana miaka 76.
Umri kikomo kwa kuwa mwanasiasa Tanzania uwe miaka mingapi?
Ila kwa umri kikomo tarajiwa kwa watanzania (Life expectancy) sidhani kama tumeshafikia kwenye miaka 70, maana kwa takwimu za mwisho ilikuwa ni miaka 65. Tatizo hatuli vyakula vyenye lishe bora na maisha yetu tunaishi kwenye mazingira yenye vurugu na hatarishi.