1Africa54
JF-Expert Member
- Feb 15, 2025
- 464
- 549
Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje?
Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini?
Je, jina gani lingekua sahihi;
- United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya
- The pan-African union(PAU), kuendeleza ndoto za mshikamano wa Africa Kama alivyo pendekeza
Kwame Nkrumah
- Umoja wa mataifa ya Africa (UWA), kwa lugha adhimu ya kiswahili
- Federation of Africa nations (FAN), umoja wa kisiasa wa mataifa ya kiafriaka Wenye majimbo yenye kujitegemea
- The African continental republic (ACR), jina lenye uzito lenye utawala wa kitaifa unao jitegemea
- Umoja wa Africa huru (UWH), umoja wa Africa wenye kujitegemea, uhuru wake, sarafu yake na siasa inayo endana na tamaduni za kiafrika
Je, Kama Bara la Afrika Lingeundwa na Nchi 3 Tu – Tungepata Umoja au Mpasuko Mpya? Nguvu za Kisiasa za Kipekee Badala ya sauti ndogo 54 katika jumuiya ya kimataifa, tungekuwa na sauti 3 nzito zikiwa na ushawishi mkubwa kwenye Umoja wa Mataifa, AU, na hata G20
Lakini changamoto? Kutawala makabila, lugha, dini na historia tofauti ndani ya nchi hizo kubwa si jambo dogo.
Uchumi Usio na Mipaka🤩
Soko la pamoja lina nguvu: biashara huria, miundombinu ya pamoja na pesa moja ya bara. Tungetoka kwenye ukoloni mamboleo wa kiuchumi, na kuwekeza kwa pamoja kwenye teknolojia, viwanda na elimu.
Utambulisho Mpya wa Kiafrika✌️
“Mimi ni Msenegali” ingetoweka—badala yake: “Mimi ni Mwafrika kutoka Jimbo la Magharibi.”Lugha kama Kiswahili, Kiingereza, na Kiarabu zingepewa hadhi ya kuwa lugha za kitaifa.
✍🏾 Je, una maoni gani kuhusu hili? Je, Afrika ya Umoja mmoja ni ndoto ya kupigania au bubu kudhibiti mitazamo ya watu?