Unadhani siku 5 za Maombolezo Tanzania kwa kifo cha Malkia Uingereza zinatokana na nini hasa kati ya haya?

Unadhani siku 5 za Maombolezo Tanzania kwa kifo cha Malkia Uingereza zinatokana na nini hasa kati ya haya?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi

Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
 
ni upuuzi tu wa kiwango cha lami yani mtesi wako anakufa badala ya kufurahia we unaomboleza , colonial mentality hazijatoka kabisa katika mioyo ya watu, ndiomaana Malema kawachana live, ni uzwazwa na ulimbukeni kabisa , hata huku tunakobeba boksi wanatushangaa sana yaani wanatuona mafala sana jinsi tunavyowaza na kutenda
 
1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi

Najiandaa sasa Kusoma Maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa Usomi, Uchakataji wa Masuala na Uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Umetuokota kwenye thread nyingine halafu unakuja huku kutuweka sawa.

Rais akishaamua ndo ncbi imeamua. Sasa wewe kama ni mshenga nenda kapandiahe bendera zilizoshushwa nusu mlingoti.

Kama Rais kakosea basi tumekosea sisi wote. Ninachosubiria ni nchi yetu kupokea condemnations kutoka kwa Waafrika wanaojitambua
 
Kuna watanzania wameenda kuomboleza???! Hii nchi hii sio ushamba wala nn hyo ni laana kwan alivyo kufa Mheshimiwa hapa nchin tofauti na tanzania kuna nchi ilitusaidia kuomboleza leo afe bibi huko na sisi tuhusike why au kisa wanatudai
 
ni upuuzi tu wa kiwango cha lami yani mtesi wako anakufa badala ya kufurahia we unaomboleza , colonial mentality hazijatoka kabisa katika mioyo ya watu, ndiomaana Malema kawachana live, ni uzwazwa na ulimbuketi kabisa , hata huku tunakobeba boksi wanatushangaa sana yaani wanatuona mafala sana jinsi tunavyowaza na kutenda
MINOCYCLINE huwa napenda sana na mno tu Kukutana na Watu ( Members ) Geniuses ( Werevu ) kama Wewe hapa JamiiForums.

Heko kwa Comment yako niliyoipenda zaidi na Wenye Akili Kubwa tumekuelewa.
 
Kwa Mila zetu naomba nisiongee sana kuhusu maombolezo ya msiba.

Mie naenda mbali zaidi hata kuwa na jumuiya ya madola ni aina flani ya utahira, haiingii akilini unaendelea kudumisha au kumbuka kitu Gani, kwamba unathamini ulivyokua koloni?
 
Kwa Mila zetu naomba nisiongee sana kuhusu maombolezo ya msiba.

Mie naenda mbali zaidi hata kuwa na jumuiya ya madola ni aina flani ya utahira, haiingii akilini unaendelea kudumisha au kumbuka kitu Gani, kwamba unathamini ulivyokua koloni?
Hivi ni Rais wa wapi vile hapa Afrika Mashariki alimwambia Mwenzake kuwa anaongoza Maiti na siyo Watu wenye Akili mpaka ukawa ndiyo Chanzo chao cha Ugomvi na Uadui mpaka hii leo hata Wakikutana katika Sherehe za Mataifa yao na Mialiko huwa hawasalimiani na huchengana pia High Table?
 
Ina mana hamjui kama Kuna kitu kinaitwa JUMUIYA YA MADOLA?na hamjui inamilikiwa na nani? pia history ya uhuru wa Tanganyika nao hamjui ulipatikanaje?
Wewe Juha Mwandamizi JF unayejua vyema hebu tuelimishe na tueleze tafadhali.
 
jemedari alipofariki watanzania wengi walifanya sherehe kufurahia kifo cha kiongoz wao, waafrika ndio wanadamu tunaoongoza kwa ubaguzi duniani
 
1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi

Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Yaani hapa ndio tumejua umri wako, nyie wa miaka ya 90 hapa hata waje 100 hawana cha kukueleza. Ila rudini nyuma na hata alipozaliwa Prince Charles 1948 bongo huku walipumzika na walisheherekea, yaani huyu marehemu alipoenda leba babu zako huku bongo ilikuwa sikukuu. Sasa leo kadanja lazima tuuomboleze huyu malkia anatuhusu sana.

Babu zako walitawaliwa na ujerumani na wamekula sana viboko na wakati huo kuingia Dar unaanzia lango la jiji, ukiruhusiwa lazima uwe na mwenyeji na utinge kaptula na shati jeupe. Mwingereza alimaliza utawala WA ujerumani na babu yako Mwalimu Julius alimpiga sound Malkia tukapata uhuru mezani, tofauti na wengine walipigana vita kupata uhuru.

Malikia ndio alikuwa kiongozi wa uingereza na mwenye nguvu kubwa, yaani hapa mawazo na fikra zako zirudishe nyuma sana na kabla ya uhuru nchi hii iliongozwa na malkia, yaani tumefiwa na mtawala wetu kabisa, Nyie mnaambiwa raisi wa kwanza ni Mwalimu ila kabla ya Mwl. Malkia Elizabeth ndio alikuwa kiongozi wetu kupitia magovernor aliowaweka yeye.

Hatutafuti sifa kwa yeyote hapa tumefiwa na kiongozi wetu kabisa, kama unajua Raisi Samia ndio kiongozi wa kwanza mwanamke kuongoza Tanzania basi chukua na hii Malkia alianza to mwaka hamsini kweusi. Ndio maana lugha yetu ya Taifa kuwa kiswahili ni kwa mbiinde ila ung'eng'e ndio lugha yetu haswaa. Hakuna anayeukumbatia ukoloni Malikia ndio aliwapa uhuru babu wa baba yako.
 
Back
Top Bottom