Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika hakuna nchi zilizoomboleza wakati wa kifo cha Jpm?muwe mnaandika vitu kwa uhalisia wake.Huo ndio ukweli na utaendelea kuwa hivyo kuwa familia ya kifalme ya uk, kwa nchi za jumuia ya madola, ina sauti kubwa sana.Kuna watanzania wameenda kuomboleza???! Hii nchi hii sio ushamba wala nn hyo ni laana kwan alivyo kufa Mheshimiwa hapa nchin tofauti na tanzania kuna nchi ilitusaidia kuomboleza leo afe bibi huko na sisi tuhusike why au kisa wanatudai
Eti jemedari!! Hapo ndipo ujiulize ni kwanini wananchi wengi warifurahia, Yaani uwe muasisi wa ubaguzi halafu ufe na wewe usibaguliwe kweli?!!haiwezekani.jemedari alipofariki watanzania wengi walifanya sherehe kufurahia kifo cha kiongoz wao, waafrika ndio wanadamu tunaoongoza kwa ubaguzi duniani
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Acha uzwazwa kujumlisha upunguani sio watanzania wanaoombeleza ni taifa la Tanzania.Ushamba
Tanganyika iliwekwa chini ya Uingereza kwa ajili ya kuandaliwa kupata uhuru.1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Ina mana hamjui kama Kuna kitu kinaitwa JUMUIYA YA MADOLA?na hamjui inamilikiwa na nani? pia history ya uhuru wa Tanganyika nao hamjui ulipatikanaje?
Mambo ya jumuia ya madola hata shule za msingi wanajua kwani wanafundishwa. Kizazi cha sasa kisichotaka kusumbúa akili ndiyo kitashangaa Tanzania kuomboleza.Hii ndiyo Elimu tuliyoitarajia kutoka Kwako?
Yote ni majibu,hii ccm haijuhi Cha kufanya,wameishiwa kabisa,kinachowaweka Madarakani ni nguvu za jeshi tu,ukiona Raisi anafanya ziara za kuzindua kituo Cha polisi,au kinanda Cha walinzi kwenye chuo Cha veta,ujue nchi imeishiwa.1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Alituoa ,akatuacha na watoto na mimba juu,akaondoka na thaman zote za ndani ,hakuacha hata mia.leo hii kafiwa naomboleza,may be nataka kuolewa tena1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Mwenyenguvu ungana naye..ukishupaza shingo utavunjika bure.1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Nyerere alifia wapi vile,zile benz za ikulu made in wapi vile,simu yako imetengenezwa wapi.ni upuuzi tu wa kiwango cha lami yani mtesi wako anakufa badala ya kufurahia we unaomboleza , colonial mentality hazijatoka kabisa katika mioyo ya watu, ndiomaana Malema kawachana live, ni uzwazwa na ulimbukeni kabisa , hata huku tunakobeba boksi wanatushangaa sana yaani wanatuona mafala sana jinsi tunavyowaza na kutenda
Tz ni Mwanachama wa jumuiya ya Madola na aliyekufa ndie kingunge wa hiyo jumuiya so lazima tuomboleze kifo cha Lady wetu.1. Umbumbu