MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Umetuokota kwenye thread nyingine halafu unakuja huku kutuweka sawa.1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa Kusoma Maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa Usomi, Uchakataji wa Masuala na Uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
MINOCYCLINE huwa napenda sana na mno tu Kukutana na Watu ( Members ) Geniuses ( Werevu ) kama Wewe hapa JamiiForums.ni upuuzi tu wa kiwango cha lami yani mtesi wako anakufa badala ya kufurahia we unaomboleza , colonial mentality hazijatoka kabisa katika mioyo ya watu, ndiomaana Malema kawachana live, ni uzwazwa na ulimbuketi kabisa , hata huku tunakobeba boksi wanatushangaa sana yaani wanatuona mafala sana jinsi tunavyowaza na kutenda
Hivi ni Rais wa wapi vile hapa Afrika Mashariki alimwambia Mwenzake kuwa anaongoza Maiti na siyo Watu wenye Akili mpaka ukawa ndiyo Chanzo chao cha Ugomvi na Uadui mpaka hii leo hata Wakikutana katika Sherehe za Mataifa yao na Mialiko huwa hawasalimiani na huchengana pia High Table?Kwa Mila zetu naomba nisiongee sana kuhusu maombolezo ya msiba.
Mie naenda mbali zaidi hata kuwa na jumuiya ya madola ni aina flani ya utahira, haiingii akilini unaendelea kudumisha au kumbuka kitu Gani, kwamba unathamini ulivyokua koloni?
Wewe Juha Mwandamizi JF unayejua vyema hebu tuelimishe na tueleze tafadhali.Ina mana hamjui kama Kuna kitu kinaitwa JUMUIYA YA MADOLA?na hamjui inamilikiwa na nani? pia history ya uhuru wa Tanganyika nao hamjui ulipatikanaje?
Yaani hapa ndio tumejua umri wako, nyie wa miaka ya 90 hapa hata waje 100 hawana cha kukueleza. Ila rudini nyuma na hata alipozaliwa Prince Charles 1948 bongo huku walipumzika na walisheherekea, yaani huyu marehemu alipoenda leba babu zako huku bongo ilikuwa sikukuu. Sasa leo kadanja lazima tuuomboleze huyu malkia anatuhusu sana.1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.