ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mbona nyie hamkuwafunga mnataka Namungo awafanyie kaziMpaka sasa mechi aliyopaswa kupoteza yanga ni Ile na namungo fc lakini bahati iliyoje muamala ulisoma kwa wakati, ile meseji ya "imethibitishwa" ilionekana kwa wakati na refa akafunika, tushukuru kwa hilo lasivyo lilikua linakufa jitu siku ile.
Kulitokea nini, hivi baada ya kueleweshwa kote kule kwa ufafanuzi wa kila namna bado mnaamini kuwa lile lilikua goli ? Ama kweli nyani ni nyani tu.Umesahau mechi ya Simba na Geita Gold?
Nadhan hata sura yako inafanana na kinyesi ulichokikunya hapa.. hv nyie mntaka hili kombe limekuwa la mamaenu..? Tulishawaambia mwsho ni msimu uliopita.. kolo nyieUnajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.
Mechi ya yanga kupoteza ilikua ni ile aliyocheza na Namungo ila kwakua wameweka nguvu nje ya uwanja unakuta inakuwa rahisi kwao kutofungwa.
Na bora wangeishia kujipambania wao lakini wana diriki hadi kuhonga timu pinzani zinazocheza na simba ilimradi tu kumdidimiza simba kwasababu ndio club inayowatishia kwenye kunyakua ubingwa.
Hii sahau mkuu,, mwaka huu Huyo kolos gawezi kukaa hata nafasi ya pili,,,Tukiacha unazi top four itakuwa
1. Simba
2.Yanga
3.Mbeya City
4.Dodoma Jiji
Sasa hao ambao hawajanunuliwa si wamfunge tuoneYanga amenunua mechi zote ispokuwa Simba na Azam. tusubiri kama walionunuliwa watakiuka maelekezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. U made my dayTop four itakavyokuwa.. Mpka mwisho wa msimu.
1:yanga
2. Polisi
3:azam.
14.Simba.
Na ile ya ngao ya hisani mlituizia?Yanga amenunua mechi zote ispokuwa Simba na Azam. tusubiri kama walionunuliwa watakiuka maelekezo
Walikomaa kupata sare mpaka wameuguaWanadanganyana Kwamba Yanga Atarudia Makosa Kama Ya Msimu Uliopita..Huu Moto Hakuna Kima Atakayeuzima Saiv Tutatembeza Vipigo Mpk Mwisho Maana Kuna Watu Wamepiga Sana Kelele Baada Ya Kupata Sare...
kuna wewe shabiki wa mpira halafu kuna viazi wa mpira 😅😅Mimi ninachowapendea yanga Ni watu wa kujiamin Sana hasa mwanzo wa ligi ,wataongea kila neno kwamba hakuna wa kuwazuia.
Katikati ya msimu wakizidiwa point hata moja tu na Simba wanahamisha topic na mashambuliz yanahamia rasmi kwa karia na tff[emoji23][emoji23] Wana yanga Ni sawa na fans wa Chelsea wa msimu huu.
Siwabez Coz Yanga msimu huu Wana kikosi kizuri japo kipo finyu Sana ,wakat Simba Wana kikosi kipana lakin kisicho na wachezaji wakutisha Kama yanga.
Karata IPO hapa Nan anaweza beba ndoo Ni kwenye hili dirisha dogo , Yanga wakiongeza watu wa maana na kuproon wasio na umuhimu ili kuongeza rotation ya wachezaj ubingwa utanukia kwao lakin Kama wataendelea kuwategemea aucho ,bangala ,fei na moloko bac wanaweza kata upepo huko mbelen , Kwa upande wa Simba ili watetee ubingwa wao wanapaswa waproon wachezaj Kama watatu au wanne wa kimataifa na kuleta wenye makali kuliko hao watakaondoka maana kwasasa pale Simba hakuna mchezaj wa kuamua game ngumu wote wanabahatisha tu yaan kiwango Chao Ni average Sana , wasipofanya Ivo Sion ubingwa kwao mwaka huu.
Conclusion :Simba na yanga yoyote anaweza kuwa bingwa huu msimu .
Haya maneno ndio yanawafanya kila msimu muangukie pua, mpira hauchezwi mdomon ,alafu wewe sie unaecheza uwanjan Zaid Ni kelele tu.Wanadanganyana Kwamba Yanga Atarudia Makosa Kama Ya Msimu Uliopita..Huu Moto Hakuna Kima Atakayeuzima Saiv Tutatembeza Vipigo Mpk Mwisho Maana Kuna Watu Wamepiga Sana Kelele Baada Ya Kupata Sare...
Umeeleza vizuri sanaMimi ninachowapendea yanga Ni watu wa kujiamin Sana hasa mwanzo wa ligi ,wataongea kila neno kwamba hakuna wa kuwazuia.
Katikati ya msimu wakizidiwa point hata moja tu na Simba wanahamisha topic na mashambuliz yanahamia rasmi kwa karia na tff[emoji23][emoji23] Wana yanga Ni sawa na fans wa Chelsea wa msimu huu.
Siwabez Coz Yanga msimu huu Wana kikosi kizuri japo kipo finyu Sana ,wakat Simba Wana kikosi kipana lakin kisicho na wachezaji wakutisha Kama yanga.
Karata IPO hapa Nan anaweza beba ndoo Ni kwenye hili dirisha dogo , Yanga wakiongeza watu wa maana na kuproon wasio na umuhimu ili kuongeza rotation ya wachezaj ubingwa utanukia kwao lakin Kama wataendelea kuwategemea aucho ,bangala ,fei na moloko bac wanaweza kata upepo huko mbelen , Kwa upande wa Simba ili watetee ubingwa wao wanapaswa waproon wachezaj Kama watatu au wanne wa kimataifa na kuleta wenye makali kuliko hao watakaondoka maana kwasasa pale Simba hakuna mchezaj wa kuamua game ngumu wote wanabahatisha tu yaan kiwango Chao Ni average Sana , wasipofanya Ivo Sion ubingwa kwao mwaka huu.
Conclusion :Simba na yanga yoyote anaweza kuwa bingwa huu msimu .
Mkuu wewe ni shabiki wa mpira sio shabiki wa timu. Umeongea ukweli mtupu.Mimi ninachowapendea yanga Ni watu wa kujiamin Sana hasa mwanzo wa ligi ,wataongea kila neno kwamba hakuna wa kuwazuia.
Katikati ya msimu wakizidiwa point hata moja tu na Simba wanahamisha topic na mashambuliz yanahamia rasmi kwa karia na tff[emoji23][emoji23] Wana yanga Ni sawa na fans wa Chelsea wa msimu huu.
Siwabez Coz Yanga msimu huu Wana kikosi kizuri japo kipo finyu Sana ,wakat Simba Wana kikosi kipana lakin kisicho na wachezaji wakutisha Kama yanga.
Karata IPO hapa Nan anaweza beba ndoo Ni kwenye hili dirisha dogo , Yanga wakiongeza watu wa maana na kuproon wasio na umuhimu ili kuongeza rotation ya wachezaj ubingwa utanukia kwao lakin Kama wataendelea kuwategemea aucho ,bangala ,fei na moloko bac wanaweza kata upepo huko mbelen , Kwa upande wa Simba ili watetee ubingwa wao wanapaswa waproon wachezaj Kama watatu au wanne wa kimataifa na kuleta wenye makali kuliko hao watakaondoka maana kwasasa pale Simba hakuna mchezaj wa kuamua game ngumu wote wanabahatisha tu yaan kiwango Chao Ni average Sana , wasipofanya Ivo Sion ubingwa kwao mwaka huu.
Conclusion :Simba na yanga yoyote anaweza kuwa bingwa huu msimu .
Nawakilisha,Mimi ninachowapendea yanga Ni watu wa kujiamin Sana hasa mwanzo wa ligi ,wataongea kila neno kwamba hakuna wa kuwazuia.
Katikati ya msimu wakizidiwa point hata moja tu na Simba wanahamisha topic na mashambuliz yanahamia rasmi kwa karia na tff[emoji23][emoji23] Wana yanga Ni sawa na fans wa Chelsea wa msimu huu.
Siwabez Coz Yanga msimu huu Wana kikosi kizuri japo kipo finyu Sana ,wakat Simba Wana kikosi kipana lakin kisicho na wachezaji wakutisha Kama yanga.
Karata IPO hapa Nan anaweza beba ndoo Ni kwenye hili dirisha dogo , Yanga wakiongeza watu wa maana na kuproon wasio na umuhimu ili kuongeza rotation ya wachezaj ubingwa utanukia kwao lakin Kama wataendelea kuwategemea aucho ,bangala ,fei na moloko bac wanaweza kata upepo huko mbelen , Kwa upande wa Simba ili watetee ubingwa wao wanapaswa waproon wachezaj Kama watatu au wanne wa kimataifa na kuleta wenye makali kuliko hao watakaondoka maana kwasasa pale Simba hakuna mchezaj wa kuamua game ngumu wote wanabahatisha tu yaan kiwango Chao Ni average Sana , wasipofanya Ivo Sion ubingwa kwao mwaka huu.
Conclusion :Simba na yanga yoyote anaweza kuwa bingwa huu msimu .
14, nayo ni top 4Top four itakavyokuwa.. Mpka mwisho wa msimu.
1:yanga
2. Polisi
3:azam.
14.Simba.