Wanadanganyana Kwamba Yanga Atarudia Makosa Kama Ya Msimu Uliopita..Huu Moto Hakuna Kima Atakayeuzima Saiv Tutatembeza Vipigo Mpk Mwisho Maana Kuna Watu Wamepiga Sana Kelele Baada Ya Kupata Sare...
Haya maneno ndio yanawafanya kila msimu muangukie pua, mpira hauchezwi mdomon ,alafu wewe sie unaecheza uwanjan Zaid Ni kelele tu.
Timu yoyote inaweza kuwa bingwa usijiamini Sana kuwa Yanga Ni Bingwa huu msimu ,vile vile Simba wasijiamin kuwa watakua mabingwa.
Ni Ajabu Sana shabik unaweka ulazima kuwa lazima iwe ,ndio nyie mnajiua au kufa kwa pressure za kujitakia kisa kuamin Sana Jambo fulani.
Mpira Ni dakika tisin tu na mahesab mwisho wa msimu ,kuongoza kwa muda lig isikufanye ujione umemaliza .
Nenda Epl Chelsea nao walikua na Tambo Kama hiz hiz saiz anaachwa point sita na man city mtaan kumepoa balaaa.
Arsenal alikua nafasi ya kumi saiz anacheza nafas ya nne .
Mpira hauko Ivo ,unapanga hili uwanjan linatokea hili,wale wachezaj sio majin Ni watu Kuna muda watafanya makosa na kuadhibiwa pia Kuna muda watakua fit.
Tambo Kama hiz zinafaa Sana pale ligi ikiwa angalau imebaki mech tano tano alafu mpinzan wako ukiwa umemwacha walau point hata 7, lakin michezo nane tu Kati ya 32 ndio uje kijiaminisha kias hiki kweli!!!
Mimi najipa muda Kwanza bingwa ataanza kuonekana walau mzunguko wa pil katikat huko yaan zikiwa zimepigwa hata mechi 25 huko hapo angalau tutaanza kuona dalili lakin kwasasa bado Sana kutamba Sana kias hicho maana yoyote anaweza kuwa bingwa na mechi zinaruhusu kwa idad kwa kila timu.