Labda uachane na kazi ya hapo LumumbaTajiri wa 50, baada ya miaka 10 nitakua kwenye top 5.
Mkuu una hangover? Lumumba ndio wapi?Labda uachane na kazi ya hapo Lumumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukitumia fact ya uchumi kwamba kwa average kila mtanzanja anaishi chini ya dolla na mimi kwa siku natumia average ya sh 5000 ambayo ni sawa na dolla 2 kwahio mimi nawazidi zaidi ya robo tatu ya watanzania .
Hapo nna weza kuwa tajiri wa milioni kumi nikiwazidi watu mil 40...
Mikono juu kwa tajiri wa mil 10 anaewazidi watu mil 40[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]