Unadhani we ni tajiri namba ngapi hapa Tanzania?

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Tanzania ina zaidi ya watu million hamisin mi Kati ya Hao nadhan kwa sasa mi ni tajiri namba 11,366378.

Je we ni tajiri namba ngapi?
 
Tajiri wa nini? hebu tufafanulie. Kuna vingi tu tunamiliki... sidhani kama kuna mwenye ndunguli zaidi yangu
 
Utajiri wa Mali na fedha vyote kwa pamoja
 
Ukitumia fact ya uchumi kwamba kwa average kila mtanzanja anaishi chini ya dolla na mimi kwa siku natumia average ya sh 5000 ambayo ni sawa na dolla 2 kwahio mimi nawazidi zaidi ya robo tatu ya watanzania .
Hapo nna weza kuwa tajiri wa milioni kumi nikiwazidi watu mil 40...

Mikono juu kwa tajiri wa mil 10 anaewazidi watu mil 40[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongeraaa tajiri
 
Back
Top Bottom