Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Kuna kitu utakuwa umechanganya hapo. Matajiri wengi wakubwa duniani pamoja na watu maarufu waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali ni wayahudi (jews) kwa maana ya imani ya kidini. Lakini si kweli kwamba ni waisraeli. Wazungu wengi wa Ulaya na Marekani wameipokea imani ya kiyahudi kwa maana ya dini lakini wana asili zao tofauti kabisa hasa Ulaya Mashariki kama Armenia na Poland na wala hawana asili kabisa ya huko Israel. Kinachotuchanganya wengi ni neno Jew lenye maana ya imani ya kidini na pia kabila/jamii ya watu.
Soma historia ya waisrael utaelewa vizuri namaanisha nini.
Kilichowatokea mwaka 70AD na kwa nini Alieanzisha taifa la Israel hili unaliliona Alitokea Kijiji kimoja huko Poland.
Kwa nini Mmiliki wa BARRICK peter Munk ni Mzungu ila anasema ni Muyahudi kutokea hukohuko ulaya ya mashariki.
Wayahudi wapo ulaya kitambo na sio kweli kwamba ni wazungu waliobadili dini...
 
Ni taifa teule la Mungu,according to Bible na atakaye lilaani atalaniwa atakaye libariki atapata mibaraka.
 
Ndo wamiliki wa vyombo vingi vya habari I hear... Mfano CNN,CBN,Fox etc...ss sijui Km kweli au la
 
Back
Top Bottom