mkubwa simba
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 284
- 206
Hahahah.......Tanganyika ni kitu gani?Mbona unavunja muungano na kuiua tanzania kinyemela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah.......Tanganyika ni kitu gani?Mbona unavunja muungano na kuiua tanzania kinyemela.
Soma historia ya waisrael utaelewa vizuri namaanisha nini.Kuna kitu utakuwa umechanganya hapo. Matajiri wengi wakubwa duniani pamoja na watu maarufu waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali ni wayahudi (jews) kwa maana ya imani ya kidini. Lakini si kweli kwamba ni waisraeli. Wazungu wengi wa Ulaya na Marekani wameipokea imani ya kiyahudi kwa maana ya dini lakini wana asili zao tofauti kabisa hasa Ulaya Mashariki kama Armenia na Poland na wala hawana asili kabisa ya huko Israel. Kinachotuchanganya wengi ni neno Jew lenye maana ya imani ya kidini na pia kabila/jamii ya watu.
Alshabaab,boko haramu,Iss,isbolaa,alqueda, hawa wote ni waisrael[emoji3] [emoji3]ndio taifa lililosababisha dunia kukosa amani na ndio taifa waanzilishi wa Ugaidi
Sio pekee sema mengine huyajuiNchi pekee ambayo katika shirika lake la ujasusi MOSSAD ina special killing squad (assasins ) linalojulikana kama KIDONS.