Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Soma historia ya waisrael utaelewa vizuri namaanisha nini.
Kilichowatokea mwaka 70AD na kwa nini Alieanzisha taifa la Israel hili unaliliona Alitokea Kijiji kimoja huko Poland.
Kwa nini Mmiliki wa BARRICK peter Munk ni Mzungu ila anasema ni Muyahudi kutokea hukohuko ulaya ya mashariki.
Wayahudi wapo ulaya kitambo na sio kweli kwamba ni wazungu waliobadili dini...
 
Ni taifa teule la Mungu,according to Bible na atakaye lilaani atalaniwa atakaye libariki atapata mibaraka.
 
Ndo wamiliki wa vyombo vingi vya habari I hear... Mfano CNN,CBN,Fox etc...ss sijui Km kweli au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…