Mshika Tester
Member
- May 3, 2020
- 38
- 35
Mtazamo wako ni upi? au na wewe unaamini wanosomea computer wanapoteza muda na pesa?Maanake computer inatumika kusomea kama vile darasa kipindi kama cha lockdown. Kwa lugha nyepesi ni notes, vitini na madesa yote yamo kwenye computer.
Sijui umenipata au nimekuvuruga zaidi?
Hayo matumizi ya computer ambayo unajifunza kama ilivyo simu ni kama asilimia mbili tu ya matumizi ya computer the rest mpaka ukae darasan
-Computer Science
-Computer Engineering
Tofautisha Computer Courses zinazotolewa na Upendo Center au Eagle Wing College!! Kujifunza kuwasha computer , Ku Type , Exel , Words , Power Point etc
Wewe nini maoni yako acha kuzunguka zunguka kama mwanasiasa.
We vipi siwezi kufata utaratibu wako usinipangie,kuandika kwenyewe hujui.maoni yangu kwa sasa katika kusomea computer kuna zaidi ya kujua kutumia computer...siku nyingine jifinze kufuata utaratibu wa watu wengine ukishindwa kuafuata atleast heshimu utaratibu wa watu wengine.
We vipi siwezi kufata utaratibu wako usinipangie,kuandika kwenyewe hujui.
Kwa majibu mepesi mepesi watu wanayotoa hapa sidhani kama kuna cha kuchifunza hapa. Wengi wetu hatujui kiufasaha yaliyo jificha ndani labda atokee mtaalamu aanze kudadavua. Kama mtu ana muda ajaribu kupitia nyuzi za zamani anaweza akaambulia kitu. Ushauri wangu kwa anaetaka kujifunza haya makitu watafute mtu mwenye uelewa (kama diploma ya IT or CS au zaidi) awafahamishe.katika fani ambazo zimejificha na siyo rahisi mtu kujua manufaa ya kusoma ni fani za Computer.
Zamani niliamini ya kwamba mtu hana haja ya kusomea Computer anaweza kujifunza kama vile ilivyo simu. Hivi na wewe unaamini kama nilivyokuwa na amini mimi au wewe unamtazamo gani mtu anaposema anasomea Computer?
Unaweza kuwa ni mada kama ya utani vile lakini kuna vijana wengi utawaokoa kupitia mchango wako, usipuuze kuweka maoni yako.
Kwa hapa bongo hii fani haifundishwi ipasavyo imezalisha watu wanaokremu notice ambaye hata laptop yake ikiharibika anapeleka kwa fundi ambae hana hata diplomaunaposema mtu hana haja ya kusomea computer anawez kujifunza kwa kutumia kama simu ni sawa na kumfananisha mtu anaekaa kwenye nyumba na civil engineer au Architecture
kutumia tu computer kwa matumizi ya kawaid yani final usage ni kama kutumia tu nyumba kulala ambayo hujui hata ramani yake ilichorwaje
kwa hiyo ukisikia mtu anasoma computer maana yake sio anasoma matumizi ya computer bali anasoma utaalamu wa kuwezesha hayo matumizi yawezekane
Huo ni mjadala mpana,kwanza fani kama computer sceince ni pana sana,ni ngumu kwa chuo chochote duniani kutoa graduate ambaye atakuwa ameiva kwenye kila kona ya computer science....kama graduate hajaiva hata kona moja ya computer science hilo linaweza kuwa tatizo la graduate mwenyewe binafsi kwa sababu chuo kwa fani za computer ni kama platform tu kwamba umepewa access ya library,ya lectures na labsKwa hapa bongo hii fani haifundishwi ipasavyo imezalisha watu wanaokremu notice ambaye hata laptop yake ikiharibika anapeleka kwa fundi ambae hana hata diploma