Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

Mungu bana ni lazima ajengewe madhabau ya watu kwenda kuabudu kusujudu na kuomba mambo mengi, na katika wengi Mungu baba nae yumo
 
kuna kanisa huwa napenda kwenda wakat wa kusifu kuna ke zinakatika hatar😆
 
Mkuu unajua moja ya vitu vinanirudisha nyuma juu ya hizi imani za kidini ni matabaka kwann kuna matabaka sijui Muslim mara Christian kule Budas,Paganism nani yupo sahihi???
Yanarudishaje nyuma kwa mfano
 
Babu yangu alijisemeaga mimi siwezi kwenda kanisani magitaa na vinanda vinaniumiza masikio.
Mimi mjukuu wake siendi kwa sababu nasalia kwenye TV mwaka unakaribia wa 10 huu.Sina nachofaidika nacho nikienda hukoo.
 
Hakuna maisha baada ya kifo. Huo ni uongo wa dini za kuletwa. Je waliowaua mababu zetu na kuwachukua utumwa hawakusoma hayo maandiko uliyoyaweka. Jiongeze Kwa kutumia fikira zako na siyo kufuata mkumbo wa story za kale
 
Uko mzima hauitaji daktari
• Kumbe unazungumzia UZIMA??

• Kwa hiyo uzima na dini wapi na wapi?

• Mbona wengi wapo hospital kwa miaka kadhaa wakiomba kupata unafuu kupitia dini zao wanazo ziamini, pia masheikh na wachungaji wanaenda kuwaombea lakini hakuna kilicho badalika..!!! Au dini inachagua yupi awe mzima, na yupi awe mahututi, au yupi alale na njaa na yupi alale ameshiba????
 
Yakikukuta ndo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…