Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

Mara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.

Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada.

Je, unapaswa uombewe au ujiombee?
Watu mnaamka Sasa

Watu mnaanza kutuelewa tunaposema kila siku kwamba dini, makanisa na nyumba za ibada ni utapeli..

Huitaji kuomba chochote wala kusali.

Mungu hayupo.
 
Yakikukuta ndo utaelewa
Relax mkuu... Dini ni biashara za wazungu na waarabu..
Screenshot_20240404-104331.png
 
Mfumo wa maisha nayo ni biashara,,, na ndo maana mtu akiishiwa damu mwilini mwake, ananua damu ya mtu mwingine..
Dini ni mfumo wa kiimani biashara ni mfumo wa mabadilishano ya muuzaji na mnunuzi
 
Nashangaa watu wanavyohangaika, unapoamka asubuhi kwanza wakumbuke mababu zako kwani wao ni roho na Mungu ni roho, wanaona hivyo wao ndio watuombee kwa huyo Mungu wa kweli. Kisha endelea na shughuli zako za siku ila ukariri kuwa "usimfanyie mwenazako kitu ambacho hutaki utendewe". Zingatia katiba ya nchi kama Biblia yako na kazi iendelee! Ibada achana nazo, ni biashara za watu. Basi kama hutaki endelea kuwapelekea sehemu ya kumi.
 
Mara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.

Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada.

Je, unapaswa uombewe au ujiombee?
Huwa kunakuwa na watoto wakali sana
 
Mara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.

Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada.

Je, unapaswa uombewe au ujiombee?

Wanawake wanatesa sana watu, pole na frustrations, Komaa.
 
sifi leo wala kesho, muda wangu ukifika nitakufa na kwenda peponi/mbinguni penye raha milele
Hukuwa na maisha kabla ya kuzaliwa ili unataka uwe na maisha baada ya kufa.

Kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi ukiwa na maisha?

Kama hukuwa na maisha kabla ya kuzaliwa, Kwa nini unadhani utakuwa na maisha baada ya kufa?

Kwa nini usiwe na maisha kabla ya kuzaliwa ila uwe na maisha baada ya kufa?
 
Back
Top Bottom