Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hata sasa waweza lipia mkuu. anzia mwanzo hadi malaki {Agano la kale] Nani mtumishi wa mungu alikuwa maskini kama mimi? hizo dhahabu, mifugo mungu alizileta za nn?Hii comment ingekuwa inalipiwa ningelipa hata laki moja....
Shukran Sana
Watu mnaamka SasaMara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.
Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada.
Je, unapaswa uombewe au ujiombee?
Kama hukuletwa duniani utafute mali, Mali za duniani zipo kwa ajili ya nani?Mkuu, uliletwa duniani ili utafute mali?
Mbona ukiondoka duniani huondoki nazo?
Kufa sa hivi uende huko peponi au mbinguni.ili kujiepusha na tabia mbaya, kujiepusha na mabalaa/mikosi, nipate mahitaji kwa wepesi, kuwa na matumaini nikifa niende peponi/mbinguni
Hakuna aliyepo sahihi.Mkuu unajua moja ya vitu vinanirudisha nyuma juu ya hizi imani za kidini ni matabaka kwann kuna matabaka sijui Muslim mara Christian kule Budas,Paganism nani yupo sahihi???
Relax mkuu... Dini ni biashara za wazungu na waarabu..Yakikukuta ndo utaelewa
Dini ni mfumo wa maisha na sio biasharaRelax mkuu... Dini ni biashara za wazungu na waarabu..
View attachment 2958715
sifi leo wala kesho, muda wangu ukifika nitakufa na kwenda peponi/mbinguni penye raha mileleKufa sa hivi uende huko peponi au mbinguni.
sifi leo wala kesho, muda wangu ukifika nitakufa na kwenda peponi/mbinguni penye raha mileleKufa sa hivi uende huko peponi au mbinguni.
Mfumo wa maisha nayo ni biashara,,, na ndo maana mtu akiishiwa damu mwilini mwake, ananua damu ya mtu mwingine..Dini ni mfumo wa maisha na sio biashara
Dini ni mfumo wa kiimani biashara ni mfumo wa mabadilishano ya muuzaji na mnunuziMfumo wa maisha nayo ni biashara,,, na ndo maana mtu akiishiwa damu mwilini mwake, ananua damu ya mtu mwingine..
Huwa kunakuwa na watoto wakali sanaMara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.
Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada.
Je, unapaswa uombewe au ujiombee?
Kabisaili kujiepusha na tabia mbaya, kujiepusha na mabalaa/mikosi, nipate mahitaji kwa wepesi, kuwa na matumaini nikifa niende peponi/mbinguni
Mara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.
Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada.
Je, unapaswa uombewe au ujiombee?
Kwahio dhumuni la mungu kuwaleta viumbe duniani ni kuja kutafuta mali?Kama hukuletwa duniani utafute mali, Mali za duniani zipo kwa ajili ya nani?
Kama hupaswi kutafuta mali duniani, Kwa nini upo duniani?
Au uliwekwa ushangae mataa?
🤔🤔🤔InawezekanaaHakuna aliyepo sahihi.
Mungu hayupo.
• Mbona mnakusanya sadaka????Dini ni mfumo wa kiimani biashara ni mfumo wa mabadilishano ya muuzaji na mnunuzi
Mungu hayupo.Kwahio dhumuni la mungu kuwaleta viumbe duniani ni kuja kutafuta mali?
Hukuwa na maisha kabla ya kuzaliwa ili unataka uwe na maisha baada ya kufa.sifi leo wala kesho, muda wangu ukifika nitakufa na kwenda peponi/mbinguni penye raha milele