Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

Ingekua ni personal kusingekua na mahubiri ya kushawishi , inafikia hatua hadi kuna nchi zinashawishi kwa makali ya upanga.
 
Ili kukumbushia kuwa sisi ni binadamu tulioumbwa na Mungu, na ukienda kanisani basi lazima kuna kitu unafaidika nacho kama unavyokunywa pombe, lakin kuna kufanya kitu ukiwa hujui kama kitakulipa, ukiamini kuwa kitakulipa, na kufanya tu kwa kufata mkumbo, unapofata mkumbo, basi faida yake ni huo mkumbo wenyewe, Kwasabab kama sitaki mkumbo siwezi kwenda
 
Mimi nilikuwa naenda kwa ajili ya kupeleka watoto tu, baadae nikaona najichosha tu sina wito huo.... nitakwenda tena uzeeni inshaallah.
 
Waislamu kazi yao kucritsize mafundisho ya kikristo,pumbafu zao wameishiwa kontent zaidi ya ngono na ndoa na kushambualia mafundisho ya wakristo.
 
Mimi nilikuwa naenda kwa ajili ya kupeleka watoto tu, baadae nikaona najichosha tu sina wito huo.... nitakwenda tena uzeeni inshaallah.
Mkuu una uhakika wa kufika uzeeni sasa? 😂
 
Ni vizuri ukajifunza kwa hawa watu walikuwa na kila kitu Leo hawapo unapaswa kujiuliza Leo hii wapo wapi
1: magufuli
2:mengi
3: membe
4: mrema
5: kubaki
6: moi
7: mkapa
8: Queen Elizabeth
Nk
Kwa hiyo hata kuwa na pacemaker na kisukari mwilini ni sehemu ya kuwa na kila kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…