Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

_20250718_222053.JPG
 
Una oa nyash au mke? Junia kesho ufue nguo za shule jumatatu shule.
Weeee patamu apooooo aloooooh 🤣 🙌 NYAAASHI NYAAASHI inafanya turudi mara mbili mbili kuitazama pale inapo bubujika
 
Unaenda zako ukweni kijana mstaarabu una ka posa Kako ndani ya barua Kuna ka elfu90 unacheki kulia kushoto unaona beki tatu ya mama mkwe ina nyaashi au tunasema imefungasha

Ukicheki hiyo posa ni sawa na mshahara wa beki tatu wa miezi miwili ukitazama kulia unae mposa kanyoka kama kapigwa short ya umeme Yani Hana supu ni ng'ombe ya singida

Unafanya maamuzi gani mtabe?
Ndoa ni kwa wenye akili tuu, wewe endelea kutafuta nyash.
 
Back
Top Bottom