Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

inaelekea hujui unataka kitu gani kwenye maisha yako au kwa lugha nyepesi wewe ni sawa na bendera fuata upepo.
 
usifananishe mke na vitu vya hovyo mke ni msaidizi,mfariji,mshauri n.k
 
Ila kuna mademu huwa wanajichanganya....Sasa mume mwenye akili hizi si bora uwe single foreveršŸ˜€
 
Inamana kipindi chote toka umekutana na huyo hadi unaenda kutoa posa hujaona wanawake wenye nyashi hadi beki 3 akuchanganye? Huo ni umalaya wako tu.
 
ndomana mnazaa vizazi vya hovyo badala ya kuoa wenye akili munaoa matako.
 
Oa huyohuyo uliyemfanyia vetting, siyo ubadili mawazo kisa nyashi... utakufa na presha bure.Hao wapo wengi,utakua unachepuka maramojamoja ukiwataka.
 
Wakati wengine wakizaa watoto, wazazi wako walizaa kokoto[emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…