Ahahaa eti U-turn..ulikuwa unaogopa sana eeMimi ndo nishaendaga kama mara mbili hivi na kupiga U-turn mlangoni [emoji41][emoji41][emoji41]
Duh hata kwa dokta hukuingia?Mimi ndo nishaendaga kama mara mbili hivi na kupiga U-turn mlangoni [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh hata kwa dokta hukuingia?
Hao virus wamekuwa rahisi kuonekana kilahisi hivyo ?Siku hizi sio lazima mienzi yote hiyo. Kuna vipimo express. Siku 3 majibu yataonyesha.
Nilikia naogopa sana!!!Ahahaa eti U-turn..ulikuwa unaogopa sana ee
Haahaha aisee pole sana, hospito unapaona kituo cha polisi nowNilikia naogopa sana!!!
Sijui kitu gani kilitokea tukavua condom... Baada ya hapo ata nikipiga chafya nilikua najiona mwathirika tayari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima niogope hospitali aisee!!!
Nilianza kabisha kupanga maisha mapya!!!
PEP (Post Exposure Prophilaxis)Arudi kupima tena after 3 months,though im strongly conviced wewe ndo huyo jamaa wa ofisini.Kapime tena after three months ,pia ulitakiwa baada ya masaa 72 ungeanza dozi ile ya kuzuia maambukizi kama umefanya ngono kwenye mazingira hatarishi
Nilifanikiwa kupima! Ila private hospital!Haahaha aisee pole sana, hospito unapaona kituo cha polisi now
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Mimi ndo nishaendaga kama mara mbili hivi na kupiga U-turn mlangoni [emoji41][emoji41][emoji41]
Kama alifanya wakati mdada kaloa vizuri basi ana chance ya kua salama!
[emoji41][emoji41][emoji41]Kwa hiyo kupiga jig jig siku za mvua ndio poa eenh...unamsubiria mchuchu akiwa katoka nje kashalowa