Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Ahahaa eti U-turn..ulikuwa unaogopa sana ee
Nilikia naogopa sana!!!
Sijui kitu gani kilitokea tukavua condom... Baada ya hapo ata nikipiga chafya nilikua najiona mwathirika tayari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima niogope hospitali aisee!!!
Nilianza kabisha kupanga maisha mapya!!!
 
Haahaha aisee pole sana, hospito unapaona kituo cha polisi now
 
Mwanaume anatoka salama kabisa, tena hata akifanya na muathirika mara kadhaa. Tatizo ni kwa wanawake, K hazichelewi kuchubuka.
 
Unatoka salama sana tu.ila kama nimtumiaji wa mtandao pendwa kutoka salama probability ni ndogo
Ha ha ha sawa nmekuelewa kweli nko wani ji, nmekuja kuelewa baadae mtandao pendwa
 
Back
Top Bottom