Tupo wengi, kuna siku nilichapa kazi Fulani kumbe kondom ishapasuka mda bolo limevaa ki top tuu tunasikilizia utamu. Kuja kumaliza nikakuta ime burst, kwanza pombe yote iliisha ikabaki harufu tuu niliyoenda nayo mwananyamala kufuata PEP asubuhi, kufika nikapima kwanza sasa wakati nnasubiria majibu nikawa nnakumbuka matukio mabaya zaidi yaliyowahi kutokea huko nyuma zaidi ya hili la kinga kupasuka, nilichofanya ni kunyanyuka, washa gari nikafuata supu nguruko na kwenda kulala nyumbani mpaka Leo nna amani ya rohoMimi ndo nishaendaga kama mara mbili hivi na kupiga U-turn mlangoni [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo kupiga jig jig siku za mvua ndio poa eenh...unamsubiria mchuchu akiwa katoka nje kashalowa
Duuh! Ata hiyo PEP hukuchukua? [emoji23][emoji23][emoji23]Tupo wengi, kuna siku nilichapa kazi Fulani kumbe kondom ishapasuka mda bolo limevaa ki top tuu tunasikilizia utamu. Kuja kumaliza nikakuta ime burst, kwanza pombe yote iliisha ikabaki harufu tuu niliyoenda nayo mwananyamala kufuata PEP asubuhi, kufika nikapima kwanza sasa wakati nnasubiria majibu nikawa nnakumbuka matukio mabaya zaidi yaliyowahi kutokea huko nyuma zaidi ya hili la kinga kupasuka, nilichofanya ni kunyanyuka, washa gari nikafuata supu nguruko na kwenda kulala nyumbani mpaka Leo nna amani ya roho
Anaweza kuwa kajikwaa sehemu nyingine ila anatafutia sababu tuu hapo,.Baaada ya miezi mitatu...hahaha anachokitafuta atakipata
hahaha aseehAnaweza kuwa kajikwaa sehemu nyingine ila anatafutia sababu tuu hapo,.
Muulize Mungu wakoKichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Mkuu ni kabla ya masaa 72 na sio baada kutumia utaratibu wa PEPPEP (Post Exposure Prophilaxis)
Sio dalili tosha. Jamaq mwenyewe mla kitimoto hawezi pungua huo uzito. Cha msingi akacheki tena after 3 months.Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Duh! Huo mtandao pendwa balaaUnatoka salama sana tu.ila kama nimtumiaji wa mtandao pendwa kutoka salama probability ni ndogo
ukimwi unaambukizwa through blood only maji maji yale hayana virus labda mkisuguana vzr tu mpaka mkachubuka mkaruhusu contamination of bloodHivi yale majimaji hua yanakua na virus na yenyewe?
Kwani muuliza swali aliuliza juu ya mtu aliefanya ngono na mtu mwenye UKIMWI au VVU?Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....
Sasa wewe MTU Mwenye Upungufu wa kinga mwilini ukijamiana nae atakuathiri nini!!!... Vitu vingine tuwe tunatumia akili za asili na sio kutawaliwa na Mawazo ya wenye viwanda vya madawa duniani .....
Ukimwi Upo Tangu Enzi Za wakina Yesu sasa wewe unaogopa nini.... Kila binadamu ana ukimwi .. Teja wa madawa ya kulevya Ana Ukimwi Kwa kiasi kikubwa kwa sababu Madawa ya kulevya hudhoofisha sana Kinga Mwili.
MTU asiekula lishe nzuri hata kama ni mtoto mdogo Ukimwi kama kinga za Mwili huwa ni chini kwa kiasi kikubwa.
Sasa mtoto ambae Kinga zake za Mwili zipo chini kwa kukosa lishe yani Mwenye Upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ukiwekewa damu yake itakuathiri nini!!!!!
Ubaya ni kwamba huu ugonjwa ni ugonjwa usiokuwepo Bali wamefanikiwa kuujengea Picha vichwani mwetu kwa sababu zao za kibiashara...
Kuna Tofauti ya Virusi Vinavyosabavisha ukimwi ( V.V.U) na Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)..... Ukimwi kila MTU anao ila hakuna VVU .... So enjoy your life acha kuumiza kichwa chako kwa vitu visivyokuwepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji134]Kwa hiyo kupiga jig jig siku za mvua ndio poa eenh...unamsubiria mchuchu akiwa katoka nje kashalowa
watu wanatomb.a kwa sifa mpaka tigo wanakula hahaaasKama alifanya wakati mdada kaloa vizuri basi ana chance ya kua salama!
Ila asikiamini sana hicho kipimo cha kwanza... Asubiri akapime tena