Tupo wengi, kuna siku nilichapa kazi Fulani kumbe kondom ishapasuka mda bolo limevaa ki top tuu tunasikilizia utamu. Kuja kumaliza nikakuta ime burst, kwanza pombe yote iliisha ikabaki harufu tuu niliyoenda nayo mwananyamala kufuata PEP asubuhi, kufika nikapima kwanza sasa wakati nnasubiria majibu nikawa nnakumbuka matukio mabaya zaidi yaliyowahi kutokea huko nyuma zaidi ya hili la kinga kupasuka, nilichofanya ni kunyanyuka, washa gari nikafuata supu nguruko na kwenda kulala nyumbani mpaka Leo nna amani ya roho