Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Daaaah nikisikiaga hizi mada za Ukimwi sijui kwenda kupima huwa nakosa amani kabisa...njia nilizopita huko nyuma tena bila ndom nikienda kupima sikosi isee....bora nijikalie tu hadi hapo nitakapoanza kukonda

Siyo kukonda tu bali kujihari......a na kutapika.
 
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Pole sana ndugu.. Itabidi urudi kupima baada ya miezi mitatu.. So far we chill kwanza .. Ukipata leo huwez pima vikaonekana leo leo..

Baada ya miezi mitatu vitakuwa vimeshaji multiply kwenye mwili so ukirudi kupima kama viliingia lazima isome positive..

But usiogope.. Now a days kuna madawa kibao ya kurefusha maisha.

Ishi kwa matumaini
 
Aende tena kujaribu bahati yake anaweza kufanikiwa kupata anachokitaka!
 
Naona hapa watu wanamshauri mtu wa tatu akati wajanja tumeshaelewa muhusika ni mtoa mada.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mwambieni tu a chill angoje miezi mitatu.. Mambo ya kuja kutusumbua hata mwezi haujapita akati ndo kwanza virusi vinajenga kiwanda na kupanga mipango ..

Miezi mitatu utajua tu.. Kama tayar basi tukuweke kwenye mpango wa ARV
 
Arudi kupima tena after 3 months,though im strongly conviced wewe ndo huyo jamaa wa ofisini.Kapime tena after three months ,pia ulitakiwa baada ya masaa 72 ungeanza dozi ile ya kuzuia maambukizi kama umefanya ngono kwenye mazingira hatarishi
Hzo PEP hawatoi kama peremendi mkuu,mpaka uende na uliedinyana nae na wajiridhishe ni muathirika ndowanakuanzishia hyo dozi
 
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Ni jamaa au ni wewe shekhe,manake uko detailed,..et juzi kat kama wik 3 hiv,..hahahah[emoji23][emoji23]
 
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Nini hutokea wiki mbili -miezi miwili bada tu ya kuingiwa na HIV
1/ kichwaa kuuma kupita kiasi .
2/kutokwa na Rashes ,,Mara nyingi izi rashes zinatokea uson ,mabegan ,kifuon na ktk mikono hususan viganjan .
3/ kutokwa najasho jingi wakati wausiku bila hats sababu ,,, hata km upo nahuduma ya AC bado jasho litatoka tuu WAKATI WA USIKU .
4/ Kuvimba kwa tezi Mara nying shingon , kwapani na eneo LA groin ( mapaja yanapoanzia ).

Kama ulikua na ngono zembe na dalili izi umeziona nivema kupima !!!

N.b izi dalili pia zaweza kua dalili za ugonjwa mwingie .

Kuhusu jamaa wako ...

Virusi vya HIV nitofauti sana na virusi vingine ,, kuvigundua ndan ya week Tatu kunaitajika vipimo vikubwa sio vipimo vyenu mnavyojipima navyo kika siku majumban ,, muhimu kwenda kupima kipimo kikubwa cha damu ,,nakam amepima angoje miezi mitatu !!.
 
Wakuu sikizeni kuweni na mafuta ya ky hakiki anapaka k inakuwa laini tepetepe zama kabisa utatoka salama hata ugegede 100 Huwezi athrika lakin kama **** ni kavu unaingiza kwa kulazimisha huepuki coz lazima kutakuwa na friction
 
Daaaah nikisikiaga hizi mada za Ukimwi sijui kwenda kupima huwa nakosa amani kabisa...njia nilizopita huko nyuma tena bila ndom nikienda kupima sikosi isee....bora nijikalie tu hadi hapo nitakapoanza kukonda
teh teh teh,twende tukapime tukiwa njiani tupeane moyo Tu hakuna namna
 
Watu wanaishi mpaka miaka wakiwa discordant we unashangaa mgegedo wa siku moja tu! Ila sikupi moyo wa kutokua makini japo nimeona mara nyingi cases kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…