Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Nini hutokea wiki mbili -miezi miwili bada tu ya kuingiwa na HIV
1/ kichwaa kuuma kupita kiasi .
2/kutokwa na Rashes ,,Mara nyingi izi rashes zinatokea uson ,mabegan ,kifuon na ktk mikono hususan viganjan .
3/ kutokwa najasho jingi wakati wausiku bila hats sababu ,,, hata km upo nahuduma ya AC bado jasho litatoka tuu WAKATI WA USIKU .
4/ Kuvimba kwa tezi Mara nying shingon , kwapani na eneo LA groin ( mapaja yanapoanzia ).
Kama ulikua na ngono zembe na dalili izi umeziona nivema kupima !!!
N.b izi dalili pia zaweza kua dalili za ugonjwa mwingie .
Kuhusu jamaa wako ...
Virusi vya HIV nitofauti sana na virusi vingine ,, kuvigundua ndan ya week Tatu kunaitajika vipimo vikubwa sio vipimo vyenu mnavyojipima navyo kika siku majumban ,, muhimu kwenda kupima kipimo kikubwa cha damu ,,nakam amepima angoje miezi mitatu !!.