Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Kinga zipo nyingi embu fafanua zaid
 
Nani kathibitisha uathirika wa huyo binti ama ndio zile story za vijiweni kuwa fulani kaukwa? Anyway Mwambie huyo mshikaji wako kuwa kuna kipindi cha mpito asubiri itimie miezi mitatu aende akacheki
 
Sasa mkuu
 
Tumieni condom aisseh alaf msit**mbe kwa sifa ...k haikomolewi ...piga kishkaji tu ...unataka sifa wa Dada poa wat du yu expect
 
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Kapima kipimo kipi???
Maana kuna cha kuangalia wadudu na cha kuangalia antibodies

Ila chances za kupata ukimwi ukisex bila condom ni 1 to 1000(viginal sex)
But risky inaongezeka with other factors

Na kama dem anatumia madawa risky is almost zero
 
Asikwambie kitu HIV test, unaweza jikuta kama mfiwa hospital. Machozi yanakudondoka ka unakaribia kufaâ˜ºí ½í¸ƒ
 
Kapima kipimo kipi???
Maana kuna cha kuangalia wadudu na cha kuangalia antibodies

Ila chances za kupata ukimwi ukisex bila condom ni 1 to 1000(viginal sex)
But risky inaongezeka with other factors

Na kama dem anatumia madawa risky is almost zero
Sijakuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…