Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....

Sasa wewe MTU Mwenye Upungufu wa kinga mwilini ukijamiana nae atakuathiri nini!!!... Vitu vingine tuwe tunatumia akili za asili na sio kutawaliwa na Mawazo ya wenye viwanda vya madawa duniani .....

Ukimwi Upo Tangu Enzi Za wakina Yesu sasa wewe unaogopa nini.... Kila binadamu ana ukimwi .. Teja wa madawa ya kulevya Ana Ukimwi Kwa kiasi kikubwa kwa sababu Madawa ya kulevya hudhoofisha sana Kinga Mwili.

MTU asiekula lishe nzuri hata kama ni mtoto mdogo Ukimwi kama kinga za Mwili huwa ni chini kwa kiasi kikubwa.

Sasa mtoto ambae Kinga zake za Mwili zipo chini kwa kukosa lishe yani Mwenye Upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ukiwekewa damu yake itakuathiri nini!!!!!

Ubaya ni kwamba huu ugonjwa ni ugonjwa usiokuwepo Bali wamefanikiwa kuujengea Picha vichwani mwetu kwa sababu zao za kibiashara...

Kuna Tofauti ya Virusi Vinavyosabavisha ukimwi ( V.V.U) na Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)..... Ukimwi kila MTU anao ila hakuna VVU .... So enjoy your life acha kuumiza kichwa chako kwa vitu visivyokuwepo
Kinga zipo nyingi embu fafanua zaid
 
Nani kathibitisha uathirika wa huyo binti ama ndio zile story za vijiweni kuwa fulani kaukwa? Anyway Mwambie huyo mshikaji wako kuwa kuna kipindi cha mpito asubiri itimie miezi mitatu aende akacheki
 
Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....

Sasa wewe MTU Mwenye Upungufu wa kinga mwilini ukijamiana nae atakuathiri nini!!!... Vitu vingine tuwe tunatumia akili za asili na sio kutawaliwa na Mawazo ya wenye viwanda vya madawa duniani .....

Ukimwi Upo Tangu Enzi Za wakina Yesu sasa wewe unaogopa nini.... Kila binadamu ana ukimwi .. Teja wa madawa ya kulevya Ana Ukimwi Kwa kiasi kikubwa kwa sababu Madawa ya kulevya hudhoofisha sana Kinga Mwili.

MTU asiekula lishe nzuri hata kama ni mtoto mdogo Ukimwi kama kinga za Mwili huwa ni chini kwa kiasi kikubwa.

Sasa mtoto ambae Kinga zake za Mwili zipo chini kwa kukosa lishe yani Mwenye Upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ukiwekewa damu yake itakuathiri nini!!!!!

Ubaya ni kwamba huu ugonjwa ni ugonjwa usiokuwepo Bali wamefanikiwa kuujengea Picha vichwani mwetu kwa sababu zao za kibiashara...

Kuna Tofauti ya Virusi Vinavyosabavisha ukimwi ( V.V.U) na Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)..... Ukimwi kila MTU anao ila hakuna VVU .... So enjoy your life acha kuumiza kichwa chako kwa vitu visivyokuwepo
Sasa mkuu
 
Tumieni condom aisseh alaf msit**mbe kwa sifa ...k haikomolewi ...piga kishkaji tu ...unataka sifa wa Dada poa wat du yu expect
 
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Kapima kipimo kipi???
Maana kuna cha kuangalia wadudu na cha kuangalia antibodies

Ila chances za kupata ukimwi ukisex bila condom ni 1 to 1000(viginal sex)
But risky inaongezeka with other factors

Na kama dem anatumia madawa risky is almost zero
 
7278933c622f6c4a5bfcd4d29c11ddf6.jpg

f07d66bce0c2cb1c05dd7a87bb6be346.jpg

Against All Odds: What Are Your Chances of Getting HIV in These Scenarios?
 
Asikwambie kitu HIV test, unaweza jikuta kama mfiwa hospital. Machozi yanakudondoka ka unakaribia kufaâ˜ºí ½í¸ƒ
 
Kapima kipimo kipi???
Maana kuna cha kuangalia wadudu na cha kuangalia antibodies

Ila chances za kupata ukimwi ukisex bila condom ni 1 to 1000(viginal sex)
But risky inaongezeka with other factors

Na kama dem anatumia madawa risky is almost zero
Sijakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom