Ugonjwa UPI upo?? ukimwi???
Hivi unajua hata wewe ambae hujaenda angaza kupima una ukimwi ??? Hivi unajua Ukimwi ulikuwepo kuanzia enzi za wakina yesu ????
Unaelewa maana ya ukimwi??? Hao watu unaosema umewazika walikufa kwa ukimwi??? Kama ni kweli unaamini walikufa kwa ukimwi kwanini tunaambiwa ukimwi hauuwi ila magonjwa nyemelezi ndio huuwa .!!!!!....
Kwanini usikubali ni malaria, typhoid au kipindupindu kama magonjwa nyemelezi ndio yamekuwa yakikufanya wewe kuzika watu na sio ukimwi.... Hivi ukimwi umewakosea nini mbona mnpakazia sana vitu vya hovyo....
Now that AIDS doesn't kill you anymore and has been cured is it really that big of a deal to get it?