KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Kuna link nimewekaSijakuelewa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna link nimewekaSijakuelewa mkuu
Hakuna ubaya mkuu, ni jambo jema tu.Ni kweli ni elimu ila nimekuuliza kwani kuna ubaya?
Okay napenda kufahamu jinsia yako.Hakuna ubaya mkuu, ni jambo jema tu.
Kwih......kwih.....Ukiwa na kibamia lakini namaanisha ukutane na bwawa
Ugonjwa UPI upo?? ukimwi???Nashangaa mnaosema hili gonjwa halipo wakati nishafukia wengi sana
Ni ugonjwa gani unaomaliza watu sasa? Au ndugu yangu hujaona watu wakiteseka na huu ugonjwa?Ugonjwa UPI upo?? ukimwi???
Hivi unajua hata wewe ambae hujaenda angaza kupima una ukimwi ??? Hivi unajua Ukimwi ulikuwepo kuanzia enzi za wakina yesu ????
Unaelewa maana ya ukimwi??? Hao watu unaosema umewazika walikufa kwa ukimwi??? Kama ni kweli unaamini walikufa kwa ukimwi kwanini tunaambiwa ukimwi hauuwi ila magonjwa nyemelezi ndio huuwa .!!!!!....
Kwanini usikubali ni malaria, typhoid au kipindupindu kama magonjwa nyemelezi ndio yamekuwa yakikufanya wewe kuzika watu na sio ukimwi.... Hivi ukimwi umewakosea nini mbona mnpakazia sana vitu vya hovyo....
Now that AIDS doesn't kill you anymore and has been cured is it really that big of a deal to get it?
Wafuate hao uwaambie wanateswa na nini????Ni ugonjwa gani unaomaliza watu sasa? Au ndugu yangu hujaona watu wakiteseka na huu ugonjwa?