Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Inawezekana ukiwa huna govi, paka dushee mafuta mengi ya mgando, mmeandaana vya kutosha halafu bao lako liwe la three buttocks.
 
Nashangaa mnaosema hili gonjwa halipo wakati nishafukia wengi sana
Ugonjwa UPI upo?? ukimwi???

Hivi unajua hata wewe ambae hujaenda angaza kupima una ukimwi ??? Hivi unajua Ukimwi ulikuwepo kuanzia enzi za wakina yesu ????

Unaelewa maana ya ukimwi??? Hao watu unaosema umewazika walikufa kwa ukimwi??? Kama ni kweli unaamini walikufa kwa ukimwi kwanini tunaambiwa ukimwi hauuwi ila magonjwa nyemelezi ndio huuwa .!!!!!....

Kwanini usikubali ni malaria, typhoid au kipindupindu kama magonjwa nyemelezi ndio yamekuwa yakikufanya wewe kuzika watu na sio ukimwi.... Hivi ukimwi umewakosea nini mbona mnpakazia sana vitu vya hovyo....
https://answers.yahoo.com/question/index?qid=20101015210619AAQIQuI
 
Ugonjwa UPI upo?? ukimwi???

Hivi unajua hata wewe ambae hujaenda angaza kupima una ukimwi ??? Hivi unajua Ukimwi ulikuwepo kuanzia enzi za wakina yesu ????

Unaelewa maana ya ukimwi??? Hao watu unaosema umewazika walikufa kwa ukimwi??? Kama ni kweli unaamini walikufa kwa ukimwi kwanini tunaambiwa ukimwi hauuwi ila magonjwa nyemelezi ndio huuwa .!!!!!....

Kwanini usikubali ni malaria, typhoid au kipindupindu kama magonjwa nyemelezi ndio yamekuwa yakikufanya wewe kuzika watu na sio ukimwi.... Hivi ukimwi umewakosea nini mbona mnpakazia sana vitu vya hovyo....
Now that AIDS doesn't kill you anymore and has been cured is it really that big of a deal to get it?
Ni ugonjwa gani unaomaliza watu sasa? Au ndugu yangu hujaona watu wakiteseka na huu ugonjwa?
 
  • Thanks
Reactions: B40
Back
Top Bottom