Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu.
injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982.
wankel injini ukubwa wa injini cc:
0.4L 360 cc (22 cu in)
0.8L 798 cc (48.7 cu in)
1.0L 982 cc (59.9 cu in)
1.2L 1,146 cc (69.9 cu in)
1.3L 1,308 cc (79.8 cu in; 1.308 L)
2.0L 1,962 cc (119.7 cu in)
2.6L 2,616 cc (159.6 cu in; 2.616 L)
injini wankel mzunguko wake tegemea gurudumu lake moja kama injini ya pikipiki utendaji.
kutokana na mfumo wake injini kufanya kazi ina sehemu moja ya kuingiza mafuta,kuchoma na kutoa.
uzito wa injini ni 347 lb (157 kg)
uwezo wa injini horsepower unaanzia
100–2,400 hp (75–1,790 kW)
kuna matoeleo mengi ya injini ya kiambatana series ambayo injini mpya iliyotoka mwaka 2023 itwayo 8c injini itakayo tumika kwenye gari aina ya MX-30 e-Skyactiv R-EV plug-in hybrid