Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu.
injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982.
wankel injini ukubwa wa injini cc:
0.4L 360 cc (22 cu in)
0.8L 798 cc (48.7 cu in)
1.0L 982 cc (59.9 cu in)
1.2L 1,146 cc (69.9 cu in)
1.3L 1,308 cc (79.8 cu in; 1.308 L)
2.0L 1,962 cc (119.7 cu in)
2.6L 2,616 cc (159.6 cu in; 2.616 L)
injini wankel mzunguko wake tegemea gurudumu lake moja kama injini ya pikipiki utendaji.

kutokana na mfumo wake injini kufanya kazi ina sehemu moja ya kuingiza mafuta,kuchoma na kutoa.


uzito wa injini ni 347 lb (157 kg)


uwezo wa injini horsepower unaanzia
100–2,400 hp (75–1,790 kW)

kuna matoeleo mengi ya injini ya kiambatana series ambayo injini mpya iliyotoka mwaka 2023 itwayo 8c injini itakayo tumika kwenye gari aina ya MX-30 e-Skyactiv R-EV plug-in hybrid
 

Kuna mahusiano makubwa sana ya volume ya fuel consumption na ubora, kila mtu atumie gari kwa uwezo wake. Mimi bila kusikia mlio wa 1HZ or 1HDT 24 valves naona kama sijaanza safari.
 
Hio engine gani imekaa kama gearbox 🤣🤣🤣 jina lenyewe tu Wankel. Aisee hio wangeacha ikae kwenye piki piki tu.
 
Kuna mahusiano makubwa sana ya volume ya fuel consumption na ubora, kila mtu atumie gari kwa uwezo wake. Mimi bila kusikia mlio wa 1HZ or 1HDT 24 valves naona kama sijaanza safari.

1hz or 1hdt engine bora sana za diesel. Upate na gearbox ya Manual na dereva mzuri utaenjoy sana safari
 
hii ina togauti gani na Rotary engine iliyotumika kwenye Mazda r7&8?
Hiyo ni rotary engine, Wankel ni mjerumani aliyegundua hizo engine. Hii ipo kwenye Mazda RX7 & RX8 na bike kubwa za Suzuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…