Unafahamu kwanini Jaguar wa Kenya hakuja kwenye tuzo za KILI juzi?

Minyimbo yake yote ya kulialia ya aina 1 halafu analeta nyodo

Hapo nilipobold wataalamu wa muziki wanaita melody, nyimbo zote za huyu jamaa melody ni moja anatoa wapi hii nyodo?
 
Huyu jamaa asije tena bongo, anataka heshima hata Rais wa Kenya hawezi kupewa.
 

Wakati juzi juzi tu kaja bongo kwa ndege yake airjaquar kusambaza video yake mpya ya kioo kwa gharama zake mwenyewe Anamaringo sana
 
Hapa kama vile sijaelewa, inamaana wasanii wa Tanzania ambao wanaoishi mikoani e.g Arusha , Mwanza na mikoa mingine. Wakija kwenye tuzo na wenyewe hugharamiwa usafiri na malazi ??? au hii ni spesho treatment kwa wasanii wa nje tu?
 
Alaf hata hajui kuimba,minyimbo yake mibaya sana
 
Mkuu inamaana anafanya biashara ya sembe?

[h=2]Check out Jaguar's Newest Car Collection (Photos)[/h] Friday, 13 September 2013 10:04 , Written by Jeff Omondi (Writer)



He's young; he's flashy and has no regrets about it. But above all, he attributes pure hardwork to his accomplishment. He's arguably the wealthiest artist in Kenya with his monthly income from performances alone believed to bring him 7 figure amounts.

He's Charles Njagua better known as Jaguar. He recently unveiled his newest cars and over the weekend took them for "a walk" to Magadi with his producer, Phil Makanda (of MainSwitch), his wingman, Lugz and Vivianne (an upcoming musician) for a video shoot.
Here are the cars;


They're parked like a boss, never mind the sign

Inside one of the Range Rovers

Jaguar before his 'beauties'

Lugz, Vivianne, Jaguar & a friend with the 'beasts' in the background

Vivianne posing before one of the Range Rovers

Jaguar meets and greets the people
 
Bado hajafika viwango vya Diamond.Nyimbo mbili tu ndo zinampa kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…