Unafahamu kwanini Jaguar wa Kenya hakuja kwenye tuzo za KILI juzi?

Unafahamu kwanini Jaguar wa Kenya hakuja kwenye tuzo za KILI juzi?

Minyimbo yake yote ya kulialia ya aina 1 halafu analeta nyodo

Hapo nilipobold wataalamu wa muziki wanaita melody, nyimbo zote za huyu jamaa melody ni moja anatoa wapi hii nyodo?
 
Huyu jamaa asije tena bongo, anataka heshima hata Rais wa Kenya hawezi kupewa.
 
Staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa nawatu wengine kama Jose Chameleone. Imefahamika kwamba Jaguar alikataa kujakwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua kwenda kuhudhuria harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah.

Jaguar alitaka atumiwe ticket ya ndege yabusiness class, alitaka achukuliwe chumba kwenye hoteli ya nyota tano, apewe ulinzi popote atakapokwenda na vilevile apewe gari zuri la kifahari la kutembelea. Kwenye sharti jingine Jaguar alitoa option kwa waandaaji na kuwaambia kama wangeshindwa kumpa ticket ya ndege basi walipaswa kuweka mafuta ili aje na ndege yake ndogo anayomiliki.

Alipohojiwa na ghafla .co.ke Jaguar alisema asingeweza kuhudhuria tukio ambalo asingepewa heshima aliyoitaka kama ambavyo huwa anaipata anapokwenda kwenye nchi nyingine katika matukio kama haya ndio maana ilikua bora ahudhurie harusi nakuongeza kwamba ‘nitahudhuria iwapo wataanza kuwa-treat vizuri wasanii wa Kenya’Tuzo za KILI 2014 zilihudhuriwa na mastaa wawili wa Kenya ambao ni Wyre na Amani huku Uganda ikiwakilishwa na Jose Chameleone ambae ndio alitangazwa mshindi kwenye kipengele cha Afrika Mashariki.

Wakati juzi juzi tu kaja bongo kwa ndege yake airjaquar kusambaza video yake mpya ya kioo kwa gharama zake mwenyewe Anamaringo sana
 
Hapa kama vile sijaelewa, inamaana wasanii wa Tanzania ambao wanaoishi mikoani e.g Arusha , Mwanza na mikoa mingine. Wakija kwenye tuzo na wenyewe hugharamiwa usafiri na malazi ??? au hii ni spesho treatment kwa wasanii wa nje tu?
 
Alaf hata hajui kuimba,minyimbo yake mibaya sana
 
Mkuu inamaana anafanya biashara ya sembe?

[h=2]Check out Jaguar's Newest Car Collection (Photos)[/h] Friday, 13 September 2013 10:04 , Written by Jeff Omondi (Writer)



He's young; he's flashy and has no regrets about it. But above all, he attributes pure hardwork to his accomplishment. He's arguably the wealthiest artist in Kenya with his monthly income from performances alone believed to bring him 7 figure amounts.

He's Charles Njagua better known as Jaguar. He recently unveiled his newest cars and over the weekend took them for "a walk" to Magadi with his producer, Phil Makanda (of MainSwitch), his wingman, Lugz and Vivianne (an upcoming musician) for a video shoot.
Here are the cars;

BTpA-XgIUAAGEXC.jpg

They're parked like a boss, never mind the sign
BSgN6hlCUAA1Sb4.jpg

Inside one of the Range Rovers
BTsS2CCIEAARgQs.jpg

Jaguar before his 'beauties'
2Q==

Lugz, Vivianne, Jaguar & a friend with the 'beasts' in the background
BTyxPtHIcAAJhnM.jpg

Vivianne posing before one of the Range Rovers
2Q==

Jaguar meets and greets the people
 
Bado hajafika viwango vya Diamond.Nyimbo mbili tu ndo zinampa kiburi.
 
Back
Top Bottom