Unafahamu kwanini Jaguar wa Kenya hakuja kwenye tuzo za KILI juzi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Screen-Shot-2014-05-05-at-5.58.39-PM.png

Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose Chameleone.

Imefahamika kwamba Jaguar alikataa kuja kwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua kwenda kuhudhuria harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah.
Jaguar alitaka atumiwe ticket ya ndege ya business class, alitaka achukuliwe chumba kwenye hoteli ya nyota tano, apewe ulinzi popote atakapokwenda na vilevile apewe gari zuri la kifahari la kutembelea.
Kwenye sharti jingine Jaguar alitoa option kwa waandaaji na kuwaambia kama wangeshindwa kumpa ticket ya ndege basi walipaswa kuweka mafuta ili aje na ndege yake ndogo anayomiliki.

Chameleone, Wyre, Amani, Ay, Mtangazaji William Tuva, shabiki Daudi wa Kota na Dj wa Chameleone juzi Dar es salaam.

Alipohojiwa na ghafla.co.ke Jaguar alisema asingeweza kuhudhuria tukio ambalo asingepewa heshima aliyoitaka kama ambavyo huwa anaipata anapokwenda kwenye nchi nyingine katika matukio kama haya ndio maana ilikua bora ahudhurie harusi na kuongeza kwamba ‘nitahudhuria iwapo wataanza kuwa-treat vizuri wasanii wa Kenya'

Tuzo za KILI 2014 zilihudhuriwa na mastaa wawili wa Kenya ambao ni Wyre na Amani huku Uganda ikiwakilishwa na Jose Chameleone ambae ndio alitangazwa mshindi kwenye kipengele cha Afrika Mashariki.

Source Millard Ayo

Staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa nawatu wengine kama Jose Chameleone. Imefahamika kwamba Jaguar alikataa kujakwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua kwenda kuhudhuria harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah.

Jaguar alitaka atumiwe ticket ya ndege yabusiness class, alitaka achukuliwe chumba kwenye hoteli ya nyota tano, apewe ulinzi popote atakapokwenda na vilevile apewe gari zuri la kifahari la kutembelea. Kwenye sharti jingine Jaguar alitoa option kwa waandaaji na kuwaambia kama wangeshindwa kumpa ticket ya ndege basi walipaswa kuweka mafuta ili aje na ndege yake ndogo anayomiliki.

Alipohojiwa na ghafla .co.ke Jaguar alisema asingeweza kuhudhuria tukio ambalo asingepewa heshima aliyoitaka kama ambavyo huwa anaipata anapokwenda kwenye nchi nyingine katika matukio kama haya ndio maana ilikua bora ahudhurie harusi nakuongeza kwamba ‘nitahudhuria iwapo wataanza kuwa-treat vizuri wasanii wa Kenya'Tuzo za KILI 2014 zilihudhuriwa na mastaa wawili wa Kenya ambao ni Wyre na Amani huku Uganda ikiwakilishwa na Jose Chameleone ambae ndio alitangazwa mshindi kwenye kipengele cha Afrika Mashariki.
 
mbona hajaja na tuzo zilitolewa na bora hakuja mana hata hakushnda
 
Attachments

  • 1399316216691.jpg
    1399316216691.jpg
    33.6 KB · Views: 844
Huyu nae kama ana pesa kwa nin asijigharamie yeye tu kumbe pesa za mawazooi eee tumejuaa
 
nyimbo mbili kajiona star je akina wyre,chameleone wasemeje???? ovyo kabisa kajulikana sbb ya nyimbo na AY halafu analeta nyodo
 
Sasa hakuja hayo yake tuzo mbona zilihappen fresh.Jide mwenyewe alikula uchochoro.
 
Hatuwa treat vizurii ??? ina maaana hajui kuwa kwa east africa unaweza kutoa wimbo mzuri ukapendwa saaana Tz kuliko nchi zaoo, kama anajifanya mjanja atoe wimbo kwa lugha ya kingereza tuone kama atahit sana, haoni mwezie chameleone anavyofanya ndo maana Jua kali alisema atabase kwenye soko la east afrika tu
Typical kenyan
 
kwanza ni wa kawaida saaana mi kenya nawakubali
1. Kidumu
2. Wyre
3. Nameless na demu wake
 
Screen-Shot-2014-05-05-at-5.58.39-PM.png

Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose Chameleone.

Imefahamika kwamba Jaguar alikataa kuja kwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua kwenda kuhudhuria harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah.
Jaguar alitaka atumiwe ticket ya ndege ya business class, alitaka achukuliwe chumba kwenye hoteli ya nyota tano, apewe ulinzi popote atakapokwenda na vilevile apewe gari zuri la kifahari la kutembelea.
Kwenye sharti jingine Jaguar alitoa option kwa waandaaji na kuwaambia kama wangeshindwa kumpa ticket ya ndege basi walipaswa kuweka mafuta ili aje na ndege yake ndogo anayomiliki.

Chameleone, Wyre, Amani, Ay, Mtangazaji William Tuva, shabiki Daudi wa Kota na Dj wa Chameleone juzi Dar es salaam.

Alipohojiwa na ghafla.co.ke Jaguar alisema asingeweza kuhudhuria tukio ambalo asingepewa heshima aliyoitaka kama ambavyo huwa anaipata anapokwenda kwenye nchi nyingine katika matukio kama haya ndio maana ilikua bora ahudhurie harusi na kuongeza kwamba ‘nitahudhuria iwapo wataanza kuwa-treat vizuri wasanii wa Kenya’

Tuzo za KILI 2014 zilihudhuriwa na mastaa wawili wa Kenya ambao ni Wyre na Amani huku Uganda ikiwakilishwa na Jose Chameleone ambae ndio alitangazwa mshindi kwenye kipengele cha Afrika Mashariki.

Source Millard Ayo
Ay hayupo hapo
 
Atakae heshima kwa nguvu na gharama atalipwa dharau kwa bei nafuu.
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Afadhali hakuja tu,who cares na minyimbo yake inayofanana ya kulialia?
 
Minyimbo yake yote ya kulialia ya aina 1 halafu analeta nyodo
 
nyimbo mbili kajiona star je akina wyre,chameleone wasemeje???? ovyo kabisa kajulikana sbb ya nyimbo na AY halafu analeta nyodo

Hata mimi huwa najiuliza? Halafu ndio mmoja kati ya wanamuziki matajiri wa East Africa, how did that happen?
 
Back
Top Bottom