Unafahamu lolote kuhusu mchezo wa kukimbizwa na Ng'ombe? Je, Kwa Tanzania huu mchezo upo??

Unafahamu lolote kuhusu mchezo wa kukimbizwa na Ng'ombe? Je, Kwa Tanzania huu mchezo upo??

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Ni wakati muafaka sasa wananchi wa Tanzania wachangamkie fursa ya huu mchezo kama baadhi ya nchi za ulaya na America ya kusini wanavyo Fanya

Faida zake:-
1: chanzo cha kipato
2: Burudani
N.k

Hasara zake:-
1: Kuumizwa (Hasa hasa ukutane na ng'ombe ambae hataki masikhara kabisa)

2: Ongezea....

Na je kwa Tanzania, ushawah kushuhudia watu wakicheza na ng'ombe

Nimeambatanisha picha

Carnavaldeltoro.jpeg


images (44).jpeg



Baadhi ya michango ya wana Jf

Carnavaldeltoro.jpeg



Kijana akikaribia kuonjeshwa joto LA jiwe na ng'ombe mwenye hasira

Screenshot_20220508-230934.png



Picha ya mwanaume mshiriki wa mchezo ambaye pengine ameshaanza kujutia uamuzi wake was kuingia mchezoni

Screenshot_20220508-231241.png
 
Back
Top Bottom