Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

Marcovicsavic

Senior Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
132
Reaction score
308
Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi ,
Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama

Mining Ofice management office
Spare Store Management Systerm
Loan Ofice Managenent System
POS for supermarket and all size shop

Nakadhalka

Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss kwenye biashara au taasisi yako sio lazima uwe una utaka niambie tuu ni shghuli gani na mfumo unaweza kuwa userfull kama utakuwaje na ni data zipi
pia tunaweza ku unda pamoja mpaka unakamili bila kulipia na sio lazima uulipi kama haukuwa na uwezo au uhitaji nachotaka ni kujua secta tofauti tofauti zinazo hitaji mifumo na ni kifumo ya aina hani na iweje asante
 
Back
Top Bottom